Kwanza niwape pole viongozi wa serikali waliopo huko GEITA wanaoendelea kupoza joto la udini uliojitokeza huko.Hili suala la udini si la kushabikia ila lililetwa na wanasiasa hawahawa ambao leo...
MOTO wa kuwashtaki kwa wananchi Spika wa Bunge, Anne Makinda na Naibu wake, Job Ndugai uliowashwa na Chadema, jijini Dar es Salaam Februari 10 mwaka huu, unaendelea huku chama hicho kikieleza kuwa...
hivi kabla ya uislam na ukristu kuingia Tanzania nani alikuwa anachinja na watu kula nyama?wanaoendekeza mvutano wa kuchinja mi na waona masikini wa akili na kipato na hawana mambo ya msingi ya...
Tuanze na matukio ya hivi karibuni aliyekuwa mwenyekiti wa BAVICHA Juliana Shonza alifukuzwa ndani ya CHADEMA na baada ya muda aliamua kujiunga cha CCM,mwaka jana aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM...
MAKADA watatu wa CCM mkoani Arusha wameendelea kumng'ang'ania Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema baada ya kuwasilisha Mahakama ya Rufani maombi ya marejeo ya hukumu iliyomrudisha bungeni mbunge...
Ni ukweli usiopingika kuwa wapo vijana wanaojitoa katika ujenzi wa CHADEMA kwa gharama zao na muda wao pasipo kutegemea kulipwa.
Moja kati ya vijana hawa ni Nicholaus Ngowi wengi tukimfaham kama...
Wakuu
This is a sad truth, lakini CHADEMA (chama kikuu cha upinzani) na CCM wote mnajua kuwa uchaguzi ujao zaidi ya asilimia 70 ya wapiga kura hawataipigia kura CCM. Na kwamba CCM itapata less...
Aanza kwa kuukosoa uchaguzi wa waziri mkuu kwani karatasi zilikuwa na serial numbers kitu ambacho kingesababisha aliyepiga kura kujulikana na hivyo dhana nzima ya USIRI kuondoka
SERIKALI imeanza mchakato wa kumiliki Kampuni ya Mawasiliano Tanzania ya TTCL kwa asilimia 100, ikiwa ni njia mojawapo ya kufanya mageuzi ya kibiashara na kuiendesha kampuni hiyo kisayansi zaidi...
Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji hicho cha Nanyanje, wilaya ya Chikonje, wilaya ya Lindi mjini leo.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Kata ya Chikonje...
Nimekuwa nikimfatilia sana Dr.Slaa tangu alivyochaguliwa kuwa mbunge wa karatu baadae alivyogombea uraisi kupitia CHADEMA. Binafsi, tangu nianze kushuhudia kiongozi wa upinzani Tanzania, nakiri...
1.kitendo cha rais kikwete kuomba msaa polisi kudhibiti mikutano ya chadema(dhaifu)
2.katibu wa bunge kutaka bunge lisioneshwe live ni kuficha wananchi wasione upuuzi wa
watendaji wengi wa...
Nembo ya chama cha Chadema
Mbali na mkutano huo, chama hicho kimesema Katibu wa Bunge, Thomas Kashilillah hana uwezo wa kutoa tamko kuhusu Bunge bila bunge lenyewe kuridhia...
BY WAVUTI.COM - WAVUTI ON FEBRUARY 14, 2013
Rais Kikwete akitoa heshima za Mwisho mbele ya jeneza la Askofu Mtsaafu jimbo Katoliki la Moshi Marehemu Mhashamu Amedeus Msarikie wakati wa misa ya...
Chama cha mapinduzi kimegeukiwa na wananchi dhidi ya ubabe kwa wananchi wake pale wanapokosa hoja au kuonekana hawana future ya Tanzania ya baadae na wapinzani kuongoza kwa kila hoja na ccm...
Hakuna shaka yeyote kwamba ndani ya CCM kumejaa makada wengi ambao background zao ni wanajeshi ama wastaafu wa jeshi. Ninaposema jeshi namaanisha kada zote za jeshi yaani JWTZ, Polisi, Magereza...
Mauaji ya mchungaji Geita
na Josephat Isango
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema, wametimuliwa mkoani Geita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.