Wizara ya prof. Mwandosya vipi...!

Wizara ya prof. Mwandosya vipi...!

Han'some

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
283
Reaction score
76
Mwandosya ni Waziri Ofisi ya Rais Asiye na Wizara Maalum

-Bila shaka hii Wizara haina bajeti, Katibu Mkuu n.k

-Kama haina bajeti, na Mwandosya ndiye sole worker, mshahara anapewa kutoka wapi?

-Mwandosya na Waziri Mwenye Wizara Maalum, ni nani senior?

-
 
ametafutiwa ulaji tu. ulishaona wapi eti waziri asiye na wizara maalum yaani kazi yake haijulikani siyo?
 
Hii Ndo Tanzania, Si dhani kama Katika Dunia hii kuna mahali kuna vitu kama hivi, labda kwenye sayari ya Mars,
 
Minister without portfolio ipo sehemu nyingi tu duniani. Hapa tuongelee sababu za Mwandosya kupewa cheo hicho ndio kuna makosa ILA si cheo kipya.
 
Back
Top Bottom