Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

hv wadau kuna haja ya kuwa na lundo la viti visivyokaliwa pale mjengoni?au kuwa na bunge kubwa alafu wabunge hawahudhurii.au kuwa na idadi kubwa ya wabunge wasio timiza wajibu wao.kwangu mm...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
NI ajabu kama tumefikia hatua ya watunga sheria waliokula kiapo cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kugeuka na kutaka kuivunja. Katibu wa Bunge, Dk...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Kweli "UKISTAAJABU YA MUSA UTASHANGAA YA FIRAUNI". Jana tarehe 14/02/2013 kulilikuwa na mkutano wa JUKWAA LA MACHUNGWA hapa Wilayani Muheza. Mkutano huo uliandaliwa na asasi ya MUVI. Mkuu wa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Naomba nitofautiane moja kwa moja na mpango huu wa chama changu wa kuanza kuzindua kanda kwa kuanzia kaskazini. Kimsingi naunga mkono hoja ya kupeleka madaraka kikanda ya CHADEMA. Hata hivyo, kama...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Tahadhari!!!!!Tumia akili zaidi kuliko HISIA kuelewa kilicho andikwa hapa, unaweza kuwa na mawazo tofauti na yangu, ni sawa. This is how democracy works. Nimesikia kwa muda kuwa wabunge...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Mtangazaji wa Clouds FM Radio leo asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast - Jicho la ng'ombe amesema ni sahihi kabisa kwa bunge kutooneshwa live kwa sababu wao wanaamini ndio sababu ya wabunge...
16 Reactions
275 Replies
24K Views
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) BY ISSA YUSSUF, 29 AUGUST 2012 ZANZIBAR is already highly vulnerable to climate variability, and will be amongst most affected by future climate change...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Kwa kadri siku zinavyoenda, nimekuwa nikishangazwa! panapotokea mgogoro wa kidini au siasa, vyombo vya habari, viongozi na hata polisi wamekuwa wakifanya unafiki kwa kutotaka kubainisha nani...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana JF, samahani kama uzi huu umewahikuletwa hapa. Mimi binafsi nilikuwa sijaona picha hizi. Ni vigumu kuamini kuwa Tundu lisu na Anne Makinda wanaweza kucheza mziki karibu namna hii ukizingatia...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
nadhani ni wakati muafaka raisi angetathmini hali ya amani nchini na kufanyia kazi,badala ya kukaa na kuliongelea swala la amani katika majukwaa ya kisiasa. Nyerere alipingania na kuweka wananchi...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Watanzania tumechukua utamaduni wa waingereza wa kupenda kulalamikia kila kitu. Mara nyingi tunapenda kutumia maneno kama wao, wale kuimanisha sio mimi. Ukweli ni kwamba nchi hazibadilishwi na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Sakata la ama Tanzania ina mitaala ya Elimu ama la limezidi kuwa songombingo. Jana ITV katika taarifa yake ya habari ya saa mbili usiku Februari 6, 2013 waliwaonesha maofisa wa taasisi ya...
15 Reactions
40 Replies
6K Views
Wilbrod Slaa Uchonganishi kwa kutumia dini ni mbinu chafu na ya mwisho ya utawala unaotapatapa kwa kushindwa kutekeleza mambo mengine ya msingi zaidi kwa wananchi wake. Wananchi lazima kutambua...
27 Reactions
51 Replies
7K Views
Hospitali ya mkoa wa Shinyanga inaongoza kwa kunuka rushwa ikiwa ni pamoja na baadhi ya wafanyakazi kutolipwa mishahara yao ya mwezi wa 12 ikiambatana na malipo ya ziada ya kazi.Hali hiyo imezua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ahsanteni sana marafiki kwa kukitakia chama siku ya kuzaliwa yenye furaha. Tarehe kama ya leo, mwaka 1992 ndipo NCCR-Mageuzi kilipopata usajili wa kuwa chama cha siasa. Wazo (mimba) la kuundwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi CHADEMA John Mnyika ametoa onyo kali dhidi ya njama zinazofanywa na maadui wa Demokrasia kutaka kufuta utaratibu wa kuonyesha vikao vya bunge 'LIVE' “Jambo la...
25 Reactions
113 Replies
9K Views
Deni la Taifa kwa sasa ni Trilion 22. Ukiligawa kwa watanzania wote pamoja na mtoto aliyezaliwa kila mmoja wetu anadaiwa zaidi ya Tsh 450,000/=. Noti mpya za 10,000 zina eneo la 6.5cm x 14cm...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
1. Ni Chama kipendacho kuwaletea Wananchi maendeleo 2. Ni chama kinachotoa Elimu ya Uraia 3. Ni chombo kinacho waleta Watanzania mahali pamoja na kuwaonyesha njia za haki 4. Ni chama...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Jana polisi na baadhi ya maofisa wa manispaa ya Temeke walikamata shehena ya sukari nyeupe (industrial white sugar), ambayo hutumika kutengeneza ARV. Sukari hiyo imekwisha muda wake wa matumizi...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
Ni tukio la kihistoria la kuzindua rasmi zoezi la kukabidhi vitambulisho vya uraia kwa watanzania ambapo mgeni rasmi ni rais KIKWETE. viongozi mbali mbali wameshafika, nawaona wakuu wa vyombo vya...
0 Reactions
95 Replies
7K Views
Back
Top Bottom