Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Viongozi wengi wa CCM wanapenda sana kuita waandishi wa habari na kutoa matamko bila kuhojiwa.
Hata pale wanaporuhusu maswali basi unakuta waandishi wa habari wameandaliwa, wanapenda vipindi kama vya Dakika 45 na Semunyu wa ITV ambapo huwa wanazungumza na kuzunguka kwenye kiti.
Hawapendi kupata maoni ya watazamaji kwa njia ya simu. Wanapenda mdahalo ambao yupo yeye na mwendesha kipindi.
Ni vizuri kwa viongozi kujenga utamaduni wa kushiriki midahalo huru kama ambavyo Job Ndugai amejaribu jana. Huko ndiko tunakoelekea.