Askofu laizer ni mshirika wa karibu wa Edward Lowassa. katika ibada kwenye uwanja wa sheikh Amri Abeid ameunga mkono uamuzi wa mahakama kumuengua lema katika ubunge huku waumini wakiguna kuonyesha...
Jamani mimi wala sioni kitu ambacho mbenge wetu Iddi Azan anachofanya! hivi anatusaidiaje sisi wapiga kura wake?? Huyu bwana akisimama bungeni ujue kachangia kuhusu timu ya taifa au kuhusu kumbi...
IJUMAA, FEBRUARI 15, 2013 04:54 NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
*Apingwa vikali Bunge kutoonyeshwa ‘live'
*Zitto, NCCR wadai sababu zake hazikubaliki
*Wananchi wasema anataka kuficha...
Viongozi wa kiserikali hasa maspika,mawaziri,wabunge,madiwani,wenyeviti wa mitaa na vijiji,wafuasi wa serikali,wateule bungeni na wengine wote mnaofuata mikumbo isiyo na maana mtaipeleka nchi...
Kama wananchi watanyimwa fursa na haki yao ya kimsingi ya kujuwa wananchi wao wanachokijadili....,Wanasheria ,wanaharakati ,vyama vya siasa na wananchi kwa ujumla wajiandae KUFUNGUA KESI YA...
POLISI mkoani Dar es Salaam wametangaza kuwafuatilia, kuwasaka na kuwachukulia hatua wote waliotuma ujumbe wa matusi ama kupiga simu ya vitisho kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda.
Viongozi wa...
Tanzania ina hadhina kubwa ya viongozi wakongwe na wenye umri mkubwa lakini hivi ni kweli kauli na matendo yao kuhusu mambo ya kisiasa hapa nchini yana tija yoyote?
Ni wazi mfumo wa vyama vingi...
Fury over plan to ban live Bunge coverage
Thursday, 14 February 2013 21:46
By Veneranda Sumila
The Citizen Reporter
Dar es Salaam.
The National Assemblys plan to stop live...
Nichukue furusa hii kumpongeza mwenyekiti wa CCM dr dr dr Kikwete kwa utekelezaji wa sera yake ya kutukagawa watanzania kidini..hakika umefanikiwa kwa nafasi kubwa sana kwani taifa sasa limefika...
Jana mkutano mkuu wa jimbo la Karagwe umekutana kumchagua katibu mpya wa jimbo baada ya kifo cha kamanda Georfey Nguma. Katika mkutano huo pia zilijazwa nafasi tano za kamati tendaji zilizokuwa...
Akihojiwa leo jioni katika kituo cha redio METRO FM jijini Mwnza amempinga na kusema na kusema kanuni za bunge zifuatwe kuliko kuwanyima haki wananchi haki ya kuwaona wabunge wao wakiwajibika...
MBUNGE wa Ubungo Jijini Dar es Salaam (Chadema), John Mnyika amemtaka, Rais Jakaya Kikwete kutosaini marekebisho ya sheria mpya ya mabadiliko katika Sheria ya Ukaguzi wa Hesabu za Umma ya 2008...
Nimekuwa nikijiluliza maswali kuhusiana na fao la kujitoa:
Wafanyakazi waliopo kazini, na wanaojitoa mara baada ya kuacha, tangu enzi hizo hawalalamiki kuhusiana na huu utaratibu wa kujitoa...
CHADEMA kimeiliza CCM katika uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji uliofanyika wilayani Muleba mkoani Kagera Jumapili iliyopita.
Licha ya wilaya ya Mulebe yenye majimbo mawili ya uchaguzi kusini...
Tumesikia kuwa bunge limedhamiria kuficha habari zake kisa ni hisia za ccm kuwa kurushwa live kwa shughuli za bunge kunawajenga wanasiasa hasa wale wa upinzani.sina uhakika kama kuna utafiti...
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Husein Mwinyi amewasihi wauguzi nchini kutofanya mgomo kama ule wa madaktari, kwa vile serikali imeanza kushughulika na madai yao mbalimbali ikiwa ni pamoja...
TAARIFA KWA UMMA
KIKAO CHA KAMATI YA URATIBU WA KANDA NA UZINDUZI WA KANDA YA KASKAZINI
Kufuatia azimio na maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA lililofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam...
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amewataka viongozi wa dini nchini kusaidia kurejesha hali ya amani kati ya Waislamu na Wakristo ambayo inaonekana inaanza kupotea.
Akizungumza nyumbani...
Habari za matokeo ya kura za maoni zilizoongozwa na Synovate inchini Kenya kuhusu performer mzuri katika Presidential Debate ya Kenya zinaonyesha kwamba Uhuru Kenyatta anaongoza kama overall good...
Bila kushirikisha wananchi wako kwenye swaala la maji na kuwaelezea hujuma zinazofanywa na DAWASCO itakuja ku-cost huko mbeleni.Magamba wanatumia hiyo chance ili uonekane hujawaletea maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.