Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi ipo namna ya kujua hukumu zinazotolewa na majaji wa Mahakama kuu za Tanzania? I'm not sure kama zipo online lakini it should be interesting kujua jaji yupi ana funga watu wengi zaidi kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lake nyasa Territorial dispute sinks local fishing on lake ................. The Malawian government has awarded a second largest exploration license to a South African company, SacOil...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya kazi kubwa iliyofanyika Bukoba mjini na kumng'oa mdogo wa Waziri wa Maliasili na Utalii ambae pia ni Mbunge wa Bukoba mjini. Kamanda Mawazo alikwenda kufanya mkutano kabambe wa hadhara...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Morogoro kimemfukuza uanachama ndugu Dazza na kuwarudishia uanachama wao wale wote waliokuwa wamefukuzwa uanachama na Kamati Tendaji ya wilaya. Maamuzi ya...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
  • Closed
..kwanza Ustadh ILUNGA KAPUNGU anafanya makosa sana kujaribu kutuhusisha wa-Tanzania na matatizo yanayotokea Kenya, particularly Mombasa. ..huko ni kujaribu kuzua tatizo hata mahali ambapo hakuna...
8 Reactions
456 Replies
56K Views
Ukiongea na wananchi na wakazi wa wilaya za Kibondo na Kakonko wanakwambia wabunge wao wamewatelekeza. Na sasa matarajio yao yapo CHADEMA 2015.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu wanajf namshukuru sana mungu kuwa wiki lililopita nilikuwa maeneo hayo ya mwambao wa ziwa nyasa yaani mpakani mwa tanzania na malawi.maeneo haya yapo ktk jimbo la ludewa linalo milikiwa na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
ADMIN/MOD Hii thread itatusaidia kutufafanulia mambo ya LEGAL matters kwenye hili. Nadhani bora iache hapa na tutaijadili kufuatana na sheria za Kimataifa. Nadhani itakuwa ni nafasi nzuri kwetu...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Ukiwasikiza wajumbe wa Sekretarieti ya CCM kama vile Nape na Mwigulu wakisimama majukwaani utapata shida kuwatofautisha na wanamipasho wa makundi ya muziki wa taarab hapa nchini. Weledi wa mambo...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Mvua kubwa iliyonyesha leo mjini Shinyanga maeneo ya Ugimbagu haikuwa tatizo kwa wakazi wa maeneo ya kata ya Mwawaza kushiriki kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ugimbagu shule ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA Dr Wilbroad Slaa amesifu demokrasia iliyoonyeshwa mpaka sasa nchini Kenya. Akihojiwa na shirika la utangazaji BBC leo asubuhi Dr Slaa...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimemuona Salma Kikwete akiwaambia kina mama wa kijiji kimoja mkoani Pwani (sikulishika jina la kijiji): "I am very dissappointed by you"! Aliposema...
4 Reactions
118 Replies
11K Views
Hali ya maisha kwa wafanyakazi wa kada za chini ni duni sana.Hali hii inatokana na viwango vya mishahara visivyokidhi mahitaji yao.Hakuna uwiano sawa wa viwango vya mishahara kati ya wafanyakazi...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
..Kuna mambo huwa tunayasema humu JF na baadaye yanafanyiwa kazi na wahusika (though indirectly)…ningependa kuona hili jambo linazungumziwa sasa…maana si kawaida hata kidogo&#8230...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
na Happiness Katabazi UPANDE wa jamhuri katika kesi ya uchochezi na kuiba malighafi zenye thamani ya sh milioni 59 inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Moja ya changamoto kubwa katika ujenzi wa Umoja wetu wa Kitaifa ni kuchanganya salamu za kivyama na kidini kwenye masuala ya kitaifa. Hakuna dhambi ya kutumia salamu za kivyama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Yule ustaadhi maarufu aliyejitolea kuhamasisha wafuasi wake KULIPA kisasi na kuua viongozi wa kikristo agosti mwaka jana. Sasa hajulikani aliko. Taarifa nilizozipata hapa MWANZA zinaonyesha...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inatamka wazi kuwa mamlaka yote katika nchi yanatoka kwa wananchi. Hivyo sera ya majimbo ya CHADEMA inatekeleza kwa vitendo ushiriki wa wananchi katika...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu, Wiki kadhaa zilizopita mtu moja alinipa mwongozo wa ccm kuhusu katiba mpya ulioandaliwa Dodoma na wajumbe waliotajwa hapo chini; Nimescan, kisha nikajaribu ku upload nimekwama, japokuwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom