Salma Kikwete: 'I am very dissappointed by you'

Salma Kikwete: 'I am very dissappointed by you'

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Leo katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimemuona Salma Kikwete akiwaambia kina mama wa kijiji kimoja mkoani Pwani (sikulishika jina la kijiji): "I am very dissappointed by you"! Aliposema hayo nilitaka kusikia kwa nini aliyasema maneno hayo kwa Kiingereza kwa wakina mama wa kijiji hicho. Alisema kuwa vodacom wamewaletea msaada, sasa baada ya kina mama kumshangilia, wao walijikunyata. Alimalizia kwa kuwaambia kuwa waache tofauti zao za ki itikadi na washangilie kwa sababu msaada huo umeletwa kwa faida yao.
 
And i'm very disappointed at her...........hizo swaga za wapi?
.

1. I'm disappointed by the government's decision (i.e., I think the decision would affect me negatively, although it might be good for the nation).

2. I'm disappointed at the result (i.e., the result does not reflect well the effort).

3. I'm disappointed in you (i.e., I believed in you / your ability, but you betrayed my trust).

4. I'm disappointed with your performance (i.e., I still believe in you, but your performance was below my expectation).

5. I'm disappointed about something (i.e., I'm displeased with the process / event(s) that brought about the unexpected outcome).
.
 
huyu mama kiherehere sana sija wahi ona first lady kiherehere kama huyu.
 
  • Thanks
Reactions: JGG
Na yule aliyesema: who doesn't know; who doesn't know............who doesn't know bila kufafanua naye unamzungumziaje?
 
.

1. I’m disappointed by the government’s decision (i.e., I think the decision would affect me negatively, although it might be good for the nation).

2. I’m disappointed at the result (i.e., the result does not reflect well the effort).

3. I’m disappointed in you (i.e., I believed in you / your ability, but you betrayed my trust).

4. I’m disappointed with your performance (i.e., I still believe in you, but your performance was below my expectation).

5. I’m disappointed about something (i.e., I’m displeased with the process / event(s) that brought about the unexpected outcome).
.

Nimerekebisha......i'm sailing in the same boat na Mrs Kikwete.......teh
 
Vizuri sana wakina mama...mnapewa msaada wa haki zenu za msingi!???
 
Who doesn't know,60% ya wanafunz waliofanya mthan 2012 wamepata sifuri

Who doesn't know..Who doesn't know..Who doesn't know ubungo kuna shida ya maji?? eeh (smiling), jk bana
 
Leo katika taarifa ya habari ya saa 2 usiku nimemuona Salma Kikwete akiwaambia kina mama wa kijiji kimoja mkoani Pwani (sikulishika jina la kijiji): "I am very dissappointed by you"! Aliposema hayo nilitaka kusikia kwa nini aliyasema maneno hayo kwa Kiingereza kwa wakina mama wa kijiji hicho. Alisema kuwa vodacom wamewaletea msaada, sasa baada ya kina mama kumshangilia, wao walijikunyata. Alimalizia kwa kuwaambia kuwa waache tofauti zao za ki itikadi na washangilie kwa sababu msaada huo umeletwa kwa faida yao.

Ina maana hakusafiri na Samsin yake kwenda Addis..? Watamkoma huko Presidaaa.. Maana last time safari ya Ufaransa mama aligoma husband kusafiri mwenyewe.. Anaujua udhaifu my husband wake macikini..
 
Back
Top Bottom