Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
ADMIN/MOD
Hii thread itatusaidia kutufafanulia mambo ya LEGAL matters kwenye hili. Nadhani bora iache hapa na tutaijadili kufuatana na sheria za Kimataifa. Nadhani itakuwa ni nafasi nzuri kwetu to learn a thing or two. Tushajadili sana kiini cha gogoro la Zimbabwe lakini naona bora tubadilishe mjadala kuangalia sheria inasemaje kuhusu hili.
Ijumaa last week Gordon Brown na ODINGA walitoa matamko yaliyonitisha kuwa Dunia lazima intervene in Zimbabwe. Na kilichonitisha zaidi ni mtu kama Pundit kutoa matamko kuwa dawa ni kumuondoa Mugabe by force.
Je wana JF mtakubali kuona Tanzania ina intervene militarily kumuondoa Mugabe japo tumewapa shilingi milioni 75 leo? kama uankubali tafadhali njoo na legal arguments kuback up your point