Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania Descent into Dictatorship Security Organs vs. Democracy Presented To: United States Congressional Committees By Tanzania Human Right Activists December 27, 2012 PRESIDENT KIKWE TE’S...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Makamanda kadhaa wa CHADEMA kutoka Bukoba na mkoani Gaita wameraliza mkutano wao hivi punde katika kata ya kashai na katika hoja zao ni kuwa CHADEMA inaungana na madiwani wa CCM katika harakati za...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Siamini haya mafunzo,isije ikawa mbinu ya kuwadhuru wabunge wa upinzani kwa sumu kambini au kwenye mazoezi. Kwanza sijui idea ya haya mafunzo nani alileta. Wabunge wa upinzani mnaoenda kwenye...
1 Reactions
2 Replies
889 Views
Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo Mh. Freeman Mbowe amesema atajiuzulu kukiongoza chama hicho endapo idadi ya wabunge wa CHADEMA itapungua baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 NB...
8 Reactions
210 Replies
14K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, Profesa Sifuni Mchome, amesema jukumu kubwa ambao tume itaanza nalo ni kutafuta suluhisho la kuporomoka kwa elimu badala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam langu la leo ni kuhusu awa viongozi wetu wananini ambacho paka tunawabeba kwa uzembe makusudi kujuana nini kinawapa kichwa awa watu kitu gani kinacho kufanya uzidi kung'ang'a unafaida gani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii hapa ni sehemu ya conclusion ya Ripoti ya Uchunguzi ya Scam ya EPA iliyotolewa na CAG miaka hiyo. Interest yangu ni kujadili iwapo mapendekezo ya CAG yamefanyiwa kazi kama yanavyoonekana hapa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
SIKU chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kuagiza Polisi, wakuu wa mikoa na wilaya kutofanya ajizi kwenye suala la wachochezi wa kidini, na badala yake wachukue hatua stahiki, ninalitazama suala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mienzi minne baada ya mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bagamoyo kutekwa na kuteswa na wanaCCM Oktoba mwaka jana wakati wa uchaguzi wa kata ya magomeni. UBABE umeendelea kutumika kuhakikisha CCM...
3 Reactions
73 Replies
7K Views
Ndugu wanajamvi; Raia mmoja wa Uingereza, Sara Hamitage, ameandika kwenye mitandao ya kijamii kuwa "Viongozi wote wa tanzania na watanzania kwa ujumla ni wala rushwa." Baada ya kauli hiyo taasisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kiingereza ni moja muhimu sana ya mawasiliano duniani. Lugha hii ilifutwa hapa nchini kwa madhumuni ya kisiasa tuu . madhala yake ni makubwa sana na moja wapo ni kuuwa utamaduni wa kujisome vitabu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rasimu ya Katiba mpya inayoandaliwa na Tume ya Katiba iliyo chini ya Jaji Joseph Sinde Warioba imeijumuisha Serikali ya Mseto. Mjumbe mmoja wa Tume hiyo ambaye ni Wakili maarufu na Mhadhiri wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
LICHA ya tambo za serikali kupitia Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo kuwa mgawo wa umeme kwa sasa ungekuwa historia, waziri huyo ameibuka na kukiri kuwa Shirika la Ugavi wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau Salaam Sasa hivi Hapa wilayani Mwanga CCM kinafanya ziara ndefu ya kuimarisha Chama inayoongozwa na Mwenyekiti wao Bw. Urban Mathewa. Pamoja na ziara hii yapo matukio ambayo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
mara baada ya kutoka kwa matokeo ya mtihani ya kidato cha nne mwaka 2012 yanayoonyesha kufeli kwa wanafunzi zaidi ya 60% waalimu wamekuwa wakisambaziana meseji za kupongezana na kuhimizana...
0 Reactions
145 Replies
11K Views
  • Closed
Jana Jumatano, kulikuwa Na kikao kuanzaia saa Kumi alasiri hadi usiku sana kati ya wajumbe wanne vigogo wa CCM Ndani ya jengo hili la ofisi Za Mkoa Za CCM, Lumumba. Mbali Na mambo machache...
6 Reactions
89 Replies
7K Views
Wanajamvi kwanza nianze kwa kuomba radhi kwa kilichotokea jana. Mkutano wa hadhara ambao ulipangwa kufanyika jana Haukuweza kufanyika kwa sababu ya Vikao vya ndani ambavyo vilikuwa na umuhimu...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimeamua kuazisha thread baada ya kuona hatuna thread ambayo mwisho wa siku tutaweza kuitumia kufwatilia hali ya kisiasa katika maeneo yetu. Sote tunafahamu juhudi kubwa ambazo chama chetu...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
WIZARAYA VIWANDA NA BIASHARA TAARIFAKWA UMMA UTEUZIWA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA TBS Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,amemteua...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Kutokana na vyama vya siasa baadhi kuja na hoja na kuanza kuigawa nchi kwa ukanda. wakati baba wa taifa halipinga suala la kuligawa Taifa. Jeshi la polisi liko wapi kuwakamata na kuwafungulia...
0 Reactions
117 Replies
8K Views
Back
Top Bottom