Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HUYU NDIYE "SADIFA HAMIS" MKT WA UVCCM (T) ALIPOKUWA ZIARANI MKOANI MOROGORO MWENYEKITI WA UVCCM (T) BW, SADIFA HAMIS Kutoka kulia ni Mtera Mwampamba na Juliana Shonza...
0 Reactions
95 Replies
22K Views
Wakuu, Mimi na makambanda wengine watano tumeazimia kwenda kueneza mabadiliko jimboni Kyela Mkoa wa Mbeya. Tayari tumejiandaa na kukusanya kiasi cha pesa cha shillingi milioni moja na nusu (1.5)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CCM yapata kiwewe Dar NA MOSHI LUSONZO 2nd March 2013 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick amekiri ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuna baadhi ya viongozi wanafuata sera ya vyama...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Makamo wa Kwanza wa Rais wa Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu Mkuu Wa Cuf Written by ibnially // 04/03/2013 // Habari // 3 Comments Chama cha wananchi CUF kupitia katibu mkuu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mbunge wa kuteuliwa,mh.James Mbatia, leo anatarajiwa kukutana na waandishi wa habari ili kuelezea hatima yake katika tume ya waziri mkuu. Ameahidi kueleza kila kitu. Source: Habarileo.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
SERIKALI imeomba mkopo wa Sh. bilioni 160 kutoka Benki ya Dunia ili iweze kukabiliana na tatizo la uhaba wa Nishati ya Umeme linalotishia kuiingiza nchi gizani. Waziri wa Fedha, Dk. William...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Kama mwanadamu, wakati mwingine tujiulize; Je, ni yepi ambayo tungependa wanadamu wenzetu waje kutukumbuka nayo? Ni yale ambayo tutayaacha nyuma yetu- legacy. Leo niliposoma gazeti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
picha,za mtaa wa unguja jijini mwanza,hapa ni makazi ya watu,kuna shule za chekechea,msingi(mbugani) na secondari(thaqaafa) na hospital(usumau dispensary), sheria zinavunjwa wazi wazi,kisha kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Willibrod Slaa ametakiwa kutokanyaga mkoani Mbeya kuanzia sasa hadi ifikapo mwaka 2015 wakati wa...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Mbunge wa Iramba na Naibu Katibu MKUU KIJANA WA CHAMA TAWALA CCM AMERIPOTI JKT MSANGE KJ 823 Tabora na kuonesha ukakamavu mkubwa uliowafurahisha wajeshi. Akiwa kwenye pensi, t shirt na skafu yake...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
  • Closed
Monday, 09 July 2012 20:53 Katibu Mkuu wa Chadema,Dk Willibrod Slaa POLISI KUWAHOJI KWA MATAMSHI KWAMBA WANATISHIWA MAISHA, DK NCHIMBI ASEMA WANASABABISHA CHUKI Neville Meena na...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Katika maelezo yake kupitia TBC, Kikwete alisema kuwa amani ya nchi yetu tumeikuta na ililetwa na mababu zetu na anashangaa kwa nini inatoweka sasa kwa mgawanyiko wa kidini. Napenda kumwambia...
13 Reactions
72 Replies
5K Views
Tanzanian general election, 2010 General elections were held in Tanzania on 31...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Tusipende kujenga uchama zaidi tujaribu kujenga Tanzania kwa sasa yenye watu wenye uchungu na moyo wa kupigania maendeleo sio binafsi no ya kila mtu mimi yeye na yule tujenge tabia ya kuambiana...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
siku ya jumamosi hii, mamurani wa kimasai wakiongozwa na James Millya tutanguruma ndani ya Babati mjini, sasa ni wakati wa mamurani kuhubiri ukombozi.
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika kuonyesha kuwa jasiri haachi asili, mbunge kijana na tegemeo la wana Nzega, kama ilivyo kawaida yake leo amemtwanga Ngumi mzee mwenye umri wa zaidi ya miaka 56 ambaye ni mjumbe wa kamati ya...
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Miongoni mwa sababu zilizotolewa na mh. Kawambwa juu ya anguko la elimu kwa kidato cha nne 2012 ni : serekali kudhibiti wizi wa mitihani. katika matokeo hayo ambapo asilimia 60.6% walipata sifuri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kuna simulizi ya kwenye Biblia. Enzi za Mfalme Suleiman kuna watu waliolalamika sana, kuwa wanaishi kwenye manyanyasiko mno. Kukawa na vijana waliokuwa na kiu ya kutaka...
6 Reactions
129 Replies
10K Views
ni siku kadhaa sasa baada ya kutangazwa kwa matokeo mabovu ya kidato cha nne 2012. kwa kuzingatia nadharia ya uwajibikaji wa mawaziri (doctorine of ministerial responsibility) waziri wa elimu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
mahakama kuu ya zanzibar kutoa uamuzi wa dhamana ya viongozi wa uamsho tarehe 11 mwezi huu. Mahakama kuu ya Zanzibar jana imepokea ombi lakupatiwa dhamana kwa viongozi kumi wa jumuiya ya uamsho...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom