Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau,hivi ile ahadi ya serikali kusitisha ununuzi wa magari ya kifahari maaarufu kama "shangingi" kweli imetekelezwa na serikali?Ukiwa barabarani na hata mtaani magari haya ya anasa yenye namba...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu wadau na wapenzi wa CHADEMA napenda kuwajulsha, kuwa mda huu nko on the way 2 Mafinga kwenye mkutano, Mshehereshaji mkuu n MCHUNGAJI Msigwa, P!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Imebainika kuwa zile harambee anazoalikwa waziri mkuu aliejiudhuru kwa kashfa ya ufisadi Edward Lowasa na kwenda kuchangia mamilioni ya fedha makanisani na baadhi ya misikiti na taasisi zingine...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Mh.JK, mwenyekiti wa CCM, aliwaagiza wana CCM kwenda nchi nzima kukitetea chama kwamba kimetekeza ipasavyo ilani yake ya uchaguzi ya 2012. Agizo hilo kwa sisi wengine lilitutia shaka kama kweli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tume ya Kufeli balaa 28 Feb 2013 · Yabainika Serikali ilikwishafanya utafiti kidato cha nne kufeli UAMUZI wa WaziriMkuu, Mizengo Pinda, kuunda tume ya kuchunguza, pamoja na mambo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nimefikiria sana nikaona niachane na siasa za kishabiki mara huku mara kule, ilimladi tu upepo unapovuma. Nahitji kukaa nikatengamaa nifungane na chama kimoja tu. Cheni thabiti ya...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu, habari ambazo zimetangazwa jana usiku, ni kuwa leo majira ya kuanzia saa tisa alasiri, kutakuwa na mkutano mkubwa wa CHADEMA hapa Mpanda, najitahidi kufika eneo la tukio ili niweze kuwapa...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Mwanaharakati mashuhuri na mwenyekiti wa mtaa wa Nera katika jiji la Mwanza amekamatwa leo na polisi wa wilaya ya Nyamaghana majira ya saa nne asubuhi kwa tuhuma za kutoa elimu ya uraia katika...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Ili kutimiza lengo la kuwa wazi, nashauri ripoti ya FBI kuhusu wimbi la mauaji la viongozi wa dini, pamoja na vurugu zahi kidini, isomwe na wao wenyewe mbele ya wandishi wa habari, ili dunia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
28 February 2013 Is it appropriate for the management of Tanzanian embassy in Stockholm to allow the position of Personal assistant to the Ambassador, a very sensitive position with highly...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Usemi usemao mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, hauna nafasi kwa Bw. Rajabu Bujoro Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kasulu. Hii ni kwa sababu yeye si mnyonge ni tajiri na jasiri na ukimuondoa yeye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mamia ya wazee, kina mama na vijana wanahitaji kujiunga na CDM na kugombea nafasi mbalimbali kama vitongoji, wenyeviti wa vijiji udiwani pamoja na ubunge. Tafadhali tunaomba kadi.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Baraza la Vijana la CHADEMA-BAVICHA limealika Umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani -IYDU kuja nchini kushuhudia ukandamizaji wa demokrasia Tanzania. Mwaliko huo ulitolewa na Mwenyekiti wa...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Itakumbukwa mwaka jana, 2012, Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, (CCM, Chato), alikataa kupokea barabara ya Kilwa (Dar-es-Salaam-kusini) kutoka kwa Wajapani kwa sababu ya kutokuwa na ubora. Balozi...
6 Reactions
30 Replies
5K Views
Katika hali inayoonyesha bado Mwenyekiti wa UVCCM anakazi ni pale ambapo baadhi ya mikoa haimtambui, ukiwepo Mkoa wa Mbeya. Wamesema kauli ya Dodoma na ya Morogoro juzi inazidi kuwachefua...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
HONGERENI VIJANA MLIOMALIZA KIDATO CHA NNE, HAMKUFELI NYIE, TUMEFELI WANASIASA NA VYAMA VYETU.... Binafsi nimestushwa na namna taifa lilivyopata mshtuko wa matokeo yenu, kana kwamba ni jambo la...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
kwa waheshimiwa wabunge wa chadema Tumeambiwa kuwa mafunzo ya jkt kwa wabunge wetu hasa wa chadema yataanza wiki hii katika makambi mbalimbali nchini. tunajua kuwa kuna wabunge wetu wameshaaga...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Bila shaka yoyote Ccm waliwateua Nape na Mwigulu kujaribu kushindana na kasi ya vijana walioko Chadema kama Zitoo, Mnyika, Mdee, Sugu, Nassari na wengineo. Lakini nia ilikuwa hawa vijana walete...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Salam wanaJF, Bado hisia za majonzi zipo kutokana na hali mbaya ya Elimu Tanzania. Magufuli anaonekana kuwa mwiba wa ufanisi mzuri hapa Tanzania. Je mnaonaje Mkuu wa Kaya akimhamishia Elimu na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom