Judiciary yetu VS reality on the ground

Judiciary yetu VS reality on the ground

George Smiley

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
471
Reaction score
267
Hivi ipo namna ya kujua hukumu zinazotolewa na majaji wa Mahakama kuu za Tanzania?

I'm not sure kama zipo online lakini it should be interesting kujua jaji yupi ana funga watu wengi zaidi kwa kesi ya ndogo ndogo

Na apia je kuna uwiano gani kati ya Jaji mkuu kutoa hukumu ya jela na jela amabzao zimejaa

I would imagine kuwa Jaji akama anajua kuwa jela zimejaa surely either anaweza kutoa hukumu za nje au community service na hawa matajairi ni kuwatoza faini kubwa zaidi ili kuboresha huduma za mahakama

ohhh on a flip side

Hivi ni nani al pewa kazi ya ku design hizi nguo za hawa majaji wetu?
jo2.jpg
 
baadhi ya hukumu za mahakama kuu na rufaa zipo online


The Judiciary of Tanzania

ukienda pia mahakama kuu masjala au mahakama ya rufaa unapewa
sijaelewa unamaamisha kuwa jaji anaefunga wengi ndio mtendaji ama?
sio kila kosa linaruhusu vifungo vya nje kama unyanganyi,wizi,uhujumu uchumi nk
yapo yale makosa madogo madogo ndio inakuwa discretion ya jaji kuamua apewe kifungo cha nje ama lah.
huo mpango wa community service upo na sheria zipo labda hufuatilii vyombo vya habari.
 
Majaji wenyewe nchi hii wana bei yao. Wanaandika hukumu mbili, upande utakaotoa dau kubwa ndo unashinda. Hebu jiulize mtu amekamatwa na vidhibiti vyote vya uhusika wa wizi na kesi anashinda. Hii ni hata mahakimu huko chini wana watu wao wanaowalea mtaani na kuwawezesha mafuta ya magari yao. Alilolisema sara harmitage ndio ukweli wenyewe japo ni mchungu kuumeza.
 
Back
Top Bottom