Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

Status
Not open for further replies.

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
37,790
Reaction score
71,294
..kwanza Ustadh ILUNGA KAPUNGU anafanya makosa sana kujaribu kutuhusisha wa-Tanzania na matatizo yanayotokea Kenya, particularly Mombasa.

..huko ni kujaribu kuzua tatizo hata mahali ambapo hakuna tatizo.

..halafu anakwenda mbali na kutoa kauli kwamba "akiuawa Shekhe basi tafuta Askofu umuue"!! Is he out of his mind?!!

..hebu tembeleeni link ya video niliyoweka hapo chini. unaweza kuanzia dakika ya 13. kinachosikitisha video nzima imekaa kimachafuko-chafuko tu. haya ni mambo mabaya sana kuwaaminisha wa-Tanzania.





Kwa wanaotumia simu, tembelea http://www.youtube.com/watch?v=BaJHhlIdXK8

MAJIBU YA Mwanakijiji:

 
Last edited by a moderator:
Ninatumia simu kwahiyo sijaweza kusikia anachosema ustadh ilunga lakini kwa aina ya mahubiri na mawaidha yanayofanywa na hawa wenzetu mtu hupati shida kung'amua kwamba lengo lao ni kutaka nchi yetu iingie katika vita ya kidini.

Na bahati nzuri kwao serikali ya Kikwete imeamua kuwafumbia macho hawa jamaa wanavyozidi kuchochea chuki za kidini.
 
Hii ndio dhambi iliyooteshwa na Ustadhi sultan kikwete 2010 wakati akipigishwa kwata na Dr wa ukweli Slaa
 
Ilunga sawa na akina Ponda na Uamsho wanatapatapa kutaka kumuingiza kila mtu kwenye mtego wao. Hata hivyo hawatafanikiwa kutokana na kuwa vipofu wa uhalisia wa maisha ya maeneo husika.

Watu wana shida na kuondoa umaskini siyo kutafuta utakatifu wala kuishi kwenye pepo za kufikirika wakati hapa duniani wanaishi kwenye jehanamu. Nadhani matatizo ya watu maskini hayachagui dini. Hivyo ni suala la muda tu hili wimbi la mawazo ya kigaidi na mgando litapita. Naona Kenya wanajitahidi kuwaondolea mbali wachochezi kama hawa.

Nadhani huyu mchochezi ana muda mfupi tu kufanya huo uchochezi wake. Kenya wanafanya vitu vyao kimya kimya tofauti na Tz ambapo viongozi wetu hawana msimamo wala ajenda kwa taifa zaidi kuchumia tumbo.
 
Nchi hii si mali ya wakristu
Nchi hii au Mali ya waislam
Nchi hii si Mali ya dini au kabila lolote
Ilitawazwa kuwa Nchi ya kidemokrasia ya Watanzania wote..

Kuna watu wana shauku sana kuona mambo yale ya ukristu au Uislam yanatawala kuanzia ngazi Za kiserikali hadi kijamii, hizo ni ham zao Na shauku Za ndoto zao, mie siwadisapoint sana Kwenye hayo wanayoyataka. Ila kidogo waelewe ziko mchi zonaexercise uislam au ukristu 100% embu wazitafute, waombe uraia wa nchi hizo waende wakajinafasi kimaisha vile watakavyo. Embu Tanzania iacheni iwe Tanzania
 
Mkuu TAMKO kuna Watanzania wengi walevi wa dini ambao wamepoteza busara na hekima hata ktk mambo madogo na ya kawaida wanaota na kuwaza njozi za kijinga!
 
Tuendelee kuomba Mungu atupe rehema na kutuhurumia maana hatuna serikali yenye kujali wala kuwajibika.
 
Kweli tz ina sheria zilizotiwa kapuni na kuongozwa kwa watu wanavyojisikia!
 
hata wafanyaje hata wachocheeje hawaguswi.....

Kwani walochoma makanisa mbagala wameguswa?????

Kidumu chama cha mapinduzi ......
 
kama vipi waislamu na wakiristo tz tupiganeni ili kuondosha tuhuma zisizokuwa na msingi pia kuondosheana zana mbaya katika nafsi zetu.hapo ndo shutuma hizi zitakapo ondoka.1.waislamu wanakomplein kuwa wakiristo wanapewa kipao mbele na serikali ya ccm.2.wakiristo wanakoplein kwamba ccm na serikali yakikwete inawapa nafasi zajuu katika uongozi.3.cuf ni chama cha waislamu.4.chadema ni chama cha wakiristo.5.ccm ni chama cha nani?6.dokta slaa anaudokta wa falsafa ya ukatoliki.7.kikwete anaitwa alhaji na imani njema kwa uislamu.8.ponda akikamatwa polisi wanawatesa waislamu.9.padre akipigwa risasi waislamu wamempiga padre.10.vifo vya muembe chai wakiristo wanasema waislamu wamejitakia.11.kutiwa moto makanisa waislamu wazanzibar wanatuchokoza.12.to be continued.wakati mwafaka umefika kupigana kati ya waislamu na wakiristo tanzania.lets us begin.
Mandi,

..vita ya kidini haina faida yeyote ile.

..waulize Lebanon walivyorudi nyuma kimaendeleo.

..zaidi, kwa huku Tanganyika kuna familia nyingi zimechangia dini za Uislamu na Ukristo. sasa mfarakano wake kwa kweli utakuwa ni kitu ambacho hakijapata kutokea.

..Shekhe Ilunga amekosea kutoa matamshi hayo ya kichochezi.
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kutufumbua macho JokaKuu. sasa naanza kuviona vita vya kidini vikibisha hodi. sababu huyu shehe katamka maneno hayo tarehe 27 October 2012. na leo tunashuhudia askofu kapigwa risasi Zanzibar. kwanini serikali inawaangalia tu watu hawa utadhani haijui uwepo wao. huyu anatakiwa akamatwe haraka akatoe ushaidi. halafu eti anasoma mpaka Hardley Chase. huyu mtu ni wa hatari sana nawaambieni.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom