Wakuu habari,makamanda Ole Millya na Joshua Nassari watahutubia mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika kesho katika uwanja wa mpira Mbulu mjini,kaitka mkutano huo pia watakuwepo wabunge wa viti...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amemteua Mkiti wa NCCR James Mbatia kuingia kwenye tume aliyoiunda kuchunguza chanzo cha wanafunzi kufeli mitihani mwaka huu.
Hata hivyo akihojiwa na ITV Mbatia...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinawatahadharisha wananchi kwa kile ilichokiita ‘mianya ya uchakachuaji' katika muongozo wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Chadema imesema...
Heshima sana wanajamvi,
Maalim Seif Shariff Hamad makamu wa kwanza wa rais wa SUK na katibu mkuu wa CUF amekuwa akifanya ziara za kisiasa Tanzania bara kwaajili ya kimarisha na kufufua uhai wa...
HATIMAYE ujenzi wa kiwanda cha kusafisha gesi kabla ya kusafirishwa kwenda Dar es Salaam umeanza mkoani Mtwara.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi alisema jana kuwa ujenzi...
kushuka kwa ufaulu wa madaraja ya juu (Division) siyo kwamba wamefeli kama PM anavyosema. Ukweli umesababishwa na wale wa waliofeli(dvs 0). Hii inatokana na hisabati "Stastistics" matokea ya...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa kimeamua kuanza kutekeleza sera yake ya kuongoza kwa majimbo sasa ili kuongeza nguvu ya mapambano na harakati za kuhakikisha wanafanikisha...
WAZIRI wa zamani wa Fedha na Mipango, Basil Mramba, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuwa aliisamehe kodi kampuni ya M/S Alex Stewart ya nchini Uingereza kwa sababu...
Nini kimpya kwenye hili mara ngapi tulipewa sababu za kupinga udini na ukabila ndio kusema avina maana kabisa ndio kusema akuna ata wakutushika mkono nani msemaji ambaye atasikika na nakua...
Ushahidi katika kesi inayomkabili Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel, kwa tuhuma za kupokea rushwa ya Sh. milioni moja kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Juni 2...
Habari wana JF
Ni wasaa mwingine tena ninapata kuweka mawazo ni fikra zangu hapa jamvini ili sote tujadili na kutafakari kwa pamoja kwa ustawi wa fikra zetu na Taifa kwa ujumla.
Leo...
WAKATI utakapokuwa unasoma safu hii, zitakuwa zimebaki saa chache kabla wananchi wa Kenya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu.
Katika uchaguzi huo, ambao ni wa kwanza kufanyika tangu nchi hiyo kupata...
Ndugu zangu wanaJF, kesho kutakuwa na kongamano kubwa la BAVICHA jimbo la ubungo kuanzia saa 4-9 mchana.Mgeni rasmi atakuwa kamanda J.J.Mnyika akiambatana na mzee Kimesela,Deogratius...
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amelipongeza Gazeti la Mwananchi kwa kuandika kwa kina habari kuhusu Katiba na kusema limewafanya wananchi kuwa na uelewa mkubwa...
Nataka kuona vijana wa Tanzania tunainuka na kuwa chachu ya mabadiliko ya kweli katika jamii zetu.
Tunahitaji mabadiliko ya kifikra katika nyanja muhimu mfano, kiucumu, kisiasa na kijamii.
Vijana...
Wana JF, leo hii nimepita katika vijiji kadhaa vya wilaya ya ngorongoro kama Sale, Ngaresero, selela nk, nimekuta wakazi wa maeneo hayo wakiwa na hamu ya ajabu kuona viongozi wa CHADEMA wakifika...
Na : Mamboleo Ngoroto-SONGEA. Kwa muda mrefu sasa watu mbalimbali nchini wakiwemo wazazi,viongozi wa serikali,wanasiasa,wanaharakati na wadau wengine wamekuwa wakilalamika juu ya matokeo...
Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM, NAPE NAUYE, amesema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] kimefilisika kisera,na badala yake kimebakia kuwa chama cha Wanaharakati!
Hivyo aliishauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.