SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Nchini (TANESCO) limekana kuwepo mgawo wa umeme kwa sasa huku likikiri kuwa hali ya upatikanaji wa nishati hiyo iko katika dharura na haijarejea katika hali ya kawaida...
Hivi karibuni kumekuwa na mtukio ya kushambuliwa viongozi wa dini na baadhi ya nyumba za ibada. Mashambulizi hayo yamesababisha majeraha na hata vifo kwa mashekhe na mapadri huko visiwani...
ndugu wana Jf;
Katika hali ya kushangaza, jana mida ya saa nane mchana, mkuu wa shule moja ya secondari ya MWISENGE aitwaye Emannual Changuru aliwatangazia wanafunzi wake kuwa leo wasivae uniform...
Mim ni mwanaCHADEMA mzuri natokea Moshi Vijijini kata ya Uru Mashariki naishangaa CHADEMA kwani huwezi kuamini pamoja na umaarufu wote huo CHADEMA haina viongozi wa chama ndani ya kata nzima...
Hivi karibuni Mzee Kingunge Ngombale amesikika akisema bado CCM ina nafasi ya kushinda uchaguzi wa mwaka 2015. Wakati huo huo kumetokea chaguzi ndogo za ngazi za mitaa, vitongoji na vijiji ambapo...
Waziri wa Elimu na Ufundi mh,Mulugo,amesema kwamba hatishiki na Maneno ya Mwenyekiti wa Taifa CDM, Mh Mbowe ya Kumtaka ajiuzulu kwa kile kinachodaiwa kwamba ni Kuwajibika kwa ajili ya Matokeo...
Ndugu zangu wanajamvi, leo najitokeza mbele yenu kwa ajili ya kumuomba radhi mzee wetu,mbunge wetu na makamu mwenyekiti wa cdm taifa. Pamoja na wanajamvi na wana bdm wote niliowakwaza kwa namna...
Mwishoni mwa juma hili,nilikuwa nchini Uganda kumsindikiza kigogo mmoja wa CCM na Serikali aliyekwenda kutoa mkono wa pole kwa Rais Yoweri Kaguta Museveni ambaye hivi karibuni alifiwa na baba yake...
na Fatuma Mnyeto, Lindi
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kuwa wananchi wa Lindi na Mtwara kukataa gesi asilia isisafirishwe kwenda Dar...
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imetupilia mbali Pingamizi la Awali la kupinga kusudio la Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kukata rufani katika Mahakama hiyo. Sasa TANESCO yaweza kukata rufani...
Imebaki siku moja tu ya kesho wananchi wa kenya wafanye uchaguzi wa kumpata rais wao mpya. Swali langu kwa wana jf ni hili, nani atashinda na kuwa rais mpya wa kenya kati ya wagombea wote...
Nchi Nane kati ya Kumi zinazoongoza kiuchumi na kimaendleo zinatumia lugha yao ya asili kufundishia, na zile zinazotumia lugha ya nje zinatumia lugha hizi kuanzia mwanzo katika mfumo wa Elimu...
na Josephat Isango
MKAKATI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kugatua madaraka kwa kutafsiri sera yake ya majimbo, umeanza kazi rasmi katika kanda zake 10, na sasa Kanda...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 2/3/2013
Utangulizi
Wapendwa waandishi wa habari. Tunaomba kupitia ninyi tuweze kuongea na watanzania wenzetu kuhusu hali ya amani ilivyo nchini mwetu kufuatia...
Gharama za uchaguzi mkuu wa kenya zafikia Tsh tilion 20 sawa na makusanyo ya kodi ya Tanzania ya miaka mitatu mfululizo. Hii inatufundisha nini kwa nchi zetu za Kiafrika? Nawasilisha
Source...
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, Profesa Sifuni Mchome, amesema jukumu kubwa ambao tume itaanza nalo ni kutafuta suluhisho la kuporomoka kwa elimu badala ya...
JESHI la Polisi wilayani Kwimba mkoani Mwanza, linawashikilia madiwani wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kosa kuchapana ngumi wakati wa kikao cha baraza la madiwani jana. Madiwani hao na...
Jana niliandika ujumbe hapa wenye kichwa cha habairi mimi ni mwana chadema ninaeishangaa chadema katika ujumbe huo nilieleza jinsi kata yangu ya uru mashariki isivyo na viongozi wa chama. Katika...
Kwanza, nieleze wazi hapa kuwa haya ambayo nitayaandika hapa, ni kwa mujibu wa utafiti wangu mdogo na majibu ya maswali ambayo niliyauliza kutoka kwa baadhi ya watu wa ndani kabisa wa CHADEMA hapa...
PALIPO na uongozi thabiti, tatizo kubwa hugeuzwa kuwa dogo. Palipo na uongozi dhaifu, tatizo dogo hugeuka kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe. Hali hii inajidhihirisha katika taifa letu kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.