Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imetupilia mbali Pingamizi la Awali la kupinga kusudio la Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kukata rufani katika Mahakama hiyo. Sasa TANESCO yaweza kukata rufani dhidi ya DOWANS kupinga Uamuzi wa kuipa DOWANS fidia ya mabilioni ya shilingi iliyotolewa Uingereza.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi 5/3/2013 ukurasa wa 3 na mimi mwenyewe niliyekuwepo Mahakamani hapo jana
Chanzo: Gazeti la Mwananchi 5/3/2013 ukurasa wa 3 na mimi mwenyewe niliyekuwepo Mahakamani hapo jana