Hivi karibuni kumekuwa na mtukio ya kushambuliwa viongozi wa dini na baadhi ya nyumba za ibada. Mashambulizi hayo yamesababisha majeraha na hata vifo kwa mashekhe na mapadri huko visiwani zanzibar.
Serikali imeamua kutumia wachunguzi wa kimataifa kubaini wahusika hasa ukizingatia pande mbili za dini kuu nchini zimekuwa zikishutumiana kuhusika kwa namna moja au nyingine.
Tujiulize swali hivi tunaamini hawa jamaa watatenda haki kweli au wataongeza ndimu, chumvi na pilipili ili mambo yanoge zaidi? Kwani watachotwambia tutalazimika kukiamini kwani tumejenga imani nao ya hali ya juu ndo maana tumewapokonya kazi wataalamu wetu na kuwapa wao.