Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nasikitishwa sana licha mimi kutokuwa Mwanachama wa Chadema bali ni Mzalendo wa kweli ninyeipenda nchi yangu na ninaamini kwa sasa ni Chadema peke yake ndio tegemeo letu. Swali, hawa watoto...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwa kweli katika watu wote wa sasa naona kuna vikundi viwili tu ambavyo vinajua elimu ya Tanzania inakoenda. Haki Elimu na Mbatia. Mimi ningeshauri JK aache siasa na amteue Mbatia kuwa waziri wa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
May be CCM government and JK will now be serious enough to eradicate this shameful problem!! Source: BBC News - UN's Navi Pillay condemns Tanzania attacks on albinos
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Kwa kweli AMANI ni kitu nzuri sana. Nikiwa kwenye foleni jioni ya hapa jijini nikaona gari zaidi ya saba katika foleni. Baada ya hapo nikaelekea mtaa wa Sakina ndiyo usiseme kwani magari madogo...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Sunday, March 3, 2013 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Sadifa Hamis Juma akihutubia aktika mkutano wa UVCCM uliofanyika jioni hii kwenye Uwanja wa shule ya msingi Mkwajuni...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Kwanza nawapongeza Watanzania wote mnaofuatilia kwa karibu zaidi mchakato wa uchaguzi mkuu nchini Kenya. Kuna masuala yanapotoshwa kuhusu vyama vya siasa vya Tanzania kwa kufananisha na vile vya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkuu wa jeshi la polisi, IGP Said Mwema amesisitiza kuwa jeshi la polisi halitaendelea kuwafumbia macho watu wanaovuruga amani ikiwa ni pamoja na kuchoma nyumba za kuabudia na kuuana kwa...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Waziri Mkuu wa Denmark, Mhe. Helle Thorning-Schmidt anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 05 Machi, 2013 kwa ziara ya kitaifa ya siku nne. Ziara hiyo ya Mhe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya kuhangaika kumpata kwa simu Mbunge wa Nzega kwa kuwa alikuwa akiendelea na kikao cha kamati ya fedha, uchumi na mipango mjini Nzega, Dkt Hamisi Kigwangalla amepokea simu yangu hatimaye na...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimeona nafasi za kazi za CHADEMA zilizotangazwa na kanda ya ziwa magharibi MRATIBU WA KANDA, AFISA WA KANDA na DEREVA. Zimechambuliwa vizuri sana na mtu mwenye sifa hizo akipatikana chama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba, amejitokeza na kubaini athari za kukithiri kwa ufisadi na rushwa ndani ya chama hicho. Makamba alishika wadhifa huo katika...
2 Reactions
82 Replies
9K Views
Kama Wakenya watamchagua Mkikuyu Mwingine Uhuru Kenyatta, Mtoto Wa RAIS wa kwanza Wa Kenya aliyetawala Kwa miaka 14 Mzee Jomo Kenyatta 1964-1978, atayeingia badala ya Mkikuyu Mwai Kibaki, Basi...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
TAASISI isiyo ya kiserikali ina yojishughulisha na masuala ya Madeni ya Taifa na Maendeleo (TCDD), imesema Serikali ya Tanzania ndiyo inaongoza kwa kukopa zaidi, ikieleza kuwa kati ya mwaka...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
na Hassan Ali Ame, Zanzibar CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimewashangaa wanasiasa wanaopinga muungano wa serikali mbili wakati wao ndiyo wa kwanza kujipanga na kuchukua vitambulisho vya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe Mbowe ataka CCM ipumzishwe 2015 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemwagiza gavana mpya wa chama hicho katika Kanda...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Prepare to get the new constitution
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Oman Oktoba mwaka 2012 baada ya kualikwa na Mtukufu Sultan Qaboos Bin Said ambapo aliambatana na ujumbe wa...
0 Reactions
116 Replies
11K Views
Mwalimu Nyerere wakati anahutubia wanajeshi wapya wa Jamuhuri ya Tanzania, tarehe 1/9/1964 alisema...."TUNATAKA MAMBO MAKUBWA MATATU KTK JESHI LETU...(1) UAMINIFU (2)UTII (3)UHODARI. Hayo mambo...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
salam mwa walongo wangu, Kwa ukweli inatia aibu sana kumuona huyu mbunge wa Peramiho akilandalanda kwenye kkolido za mjengoni huku akitembea kwenye tiles safi huku akiacha utafikiri aoni jimbo...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Wasaalam wana Jf! CHADEMA imekuwa ikihubiri mara kwa mara kuwa italeta "UKOMBOZI WA PILI" kwa watanzania;kwa maana ya kuwakomboa watanzania katika kile wanaita "UTUMWA toka chama cha Mapinduzi"...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Back
Top Bottom