Mulugo apuuza kelele za Chadema!

Mulugo apuuza kelele za Chadema!

sokoinei

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,832
Reaction score
566
Waziri wa Elimu na Ufundi mh,Mulugo,amesema kwamba hatishiki na Maneno ya Mwenyekiti wa Taifa CDM, Mh Mbowe ya Kumtaka ajiuzulu kwa kile kinachodaiwa kwamba ni Kuwajibika kwa ajili ya Matokeo mabaya ya Mtihani wa Kidato cha Nne!!

Aliendelea kusema kwamba hashangai kwani anachofanya Mbowe ni Kujitafutia Umaarufu na kujitafutia Wapiga Kura!

Source: Radio Free Afrika tuzungumze Magazeti!
 
Kazi ipo wanaona wakiachia ulaji nini kitafuata mAana hata jimbo atalikosa watasema huyu kilaza ndio alisababisha wanafuzi na watoto wetu wafeli vile si mnaona amejiuzulu?hafai hata huku!!
 
Kazi ipo wanaona wakiachia
ulaji nini kitafuata mAana hata jimbo atalikosa watasema huyu kilaza
ndio alisababisha wanafuzi na watoto wetu wafeli vile si mnaona
amejiuzulu?hafai hata huku!!

Kama hataki kujiuzulu wananchi wa jimboni kwake wachanganye akili za kuambiwa na za kwao waamue.
 
sasa Tanzania ili mtu uachie ngazi inabidi ufeli ktk majukumu kwa asilimia ngapi? 94% as failure rate is not enough?
 
Waziri wa Elimu na Ufundi mh,Mulugo,amesema kwamba hatishiki na Maneno ya Mwenyekiti wa Taifa CDM, Mh Mbowe ya Kumtaka ajiuzulu kwa kile kinachodaiwa kwamba ni Kuwajibika kwa ajili ya Matokeo mabaya ya Mtihani wa Kidato cha Nne!!

Aliendelea kusema kwamba hashangai kwani anachofanya Mbowe ni Kujitafutia Umaarufu na kujitafutia Wapiga Kura!

Source: Radio Free Afrika tuzungumze Magazeti!

wakina dr. Haji mponda na mama nkya wapo wapi?is a matter of time we mwache aendelee kujishau
 
kawambwa ndo ajiudhuru,
huyo Mulugo ni kichwa sana aisee, yeye abaki tu.
 
Kwanza ameshajua Tanzania ni uunganiko wa nchi ngapi na ni nchi gani hizo?
Pili, ameshajua ni lini muungano uliounda Tanzania
Tatu, NAAMINI NAE NI MMOJA KATI YA WALE 60% :der:
 
kawambwa ndo ajiudhuru,
huyo Mulugo ni kichwa sana aisee, yeye abaki tu.

amim tena ahahajhahahahah.....amim noma.....ahahah amim...ahahahh amim ..............we mkariiiiiiiiiii..... ahahahahaha...amim
 
Haoni umuhimu wa kujiuzulu kwa sababu hana uchungu na watanzania waliofeli. Yeye anajali maslahi yake binafsi
 
Back
Top Bottom