wana JF,
Itakukumbukwa kwamba katika uchaguzi mkuu mwaka 2010,mojawapo ya matukio ya kukumbukwa ilikuwa ni pale ambapo chama cha mapinduzi kiliwazuia wagombea wake wa ngazi zote ikiwa ni pamoja...
Wakuu. nimeisoma hii article ya Mzee Mwanakijiji kwenye Tanzania daima ya leo. Nimependa criticism aliyoitoa kwa CHADEMA - Ni chakula kizuri cha akili.
MWAKA wa tatu sasa tangu Uchaguzi Mkuu wa...
Mh.Raisi hivi bado una imani na waziri Muhongo na katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini,Eliakimu Maswi?Taarifa za wao kuingilia utendaji wa TANESCO ni uzushi?Hivi mh.Raisi unapenda kulaumiwa...
Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga
Ni dhahiri kwamba mkakati wa Bunge unaotafsiriwa kupora haki ya raia kupata taarifa, umeuchukiza umma, sasa taasisi tofauti zimejitokeza kuupinga.
Katibu...
Bila ubishi watanzania wengi wameichoka CCM. Wapo wenye sababu ya kuichoka kwa kusema kuwa ni chama kikongwe hivyo wanataka chama kipya chenye mawazo mapya. Wapo pia wenye sababu ya kwamba CCM ni...
Wanabodi,
Kama kawaida, kwa kupitia jf, be the first to know, kuwa hivi sasa, juhudi zinafanywa kumhamisha Kibanda kwenda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Juhudi hizi zinaratibiwa na...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza kusudio la kusimamisha mgombea urais visiwani Zanzibar katika uchaguzi wa mwaka 2015. Hii itakuwa mara ya kwanza kwa chama hicho...
WIKI mbili baada ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012, yaliyoonyesha kushuka kwa kiwango cha ufaulu kutangazwa, Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), limefunguka na kudai matokeo hayo...
Hatimaye madiwani wa Bukoba Manispaa waliokuwa wamegoma kushiriki kikao cha bajeti kuwa hawana iman na meya leo wameshiriki kikao ingawa kulijitokeza hoja kweamba hawana iman naye kwa kutumia...
Habari wakuu,
Kadri siku zinavyozidi kwenda hapa nchini,ndivyo mambo mengi yanavyozidi kwenda kombo.Kwa maneno mengine ni kuwa, "kila siku ni afadhali ya jana".Hali hii inajionyesha katika maeneo...
WAKATI hali ya Shirika la Ugavi Tanzania (TANESCO) ni mbaya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Eliakimu Maswi, wanatajwa kuwa chanzo cha...
Naomba msimamizi mkuu kenya atende haki kutangaza matokeo halisi,bilashinikizo asijeleta mtafaruku wa mmoja kugoma kusaini hali ya kenya itachafuka zaidi ya ile kilamgombea apewe muda wa kuhakiki...
Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa ameitaka serikali kukomesha uchochezi wa kidini ambao anaamini unachochewa na baadhi ya vyama vya siasa.
Akizungumza katika mkutano wa Baraza la vyama vya...
Hivi karibuni, wimbi la viongozi wa Serikali wamekuwa wakitoa matamko mepesi bila kufikiria.
Tamko la Waziri Mkuu, Pinda la jana kwamba watumishi wa Wilaya ya Bahi ni lazima wahamie Bahi na...
Ni wazi sasa kuwa Tanzania kwa mara nyingine tena inaingia katika mgao usio rasmi wa umeme.Kila mara mgao unapotokea maleezo mengi na sababu nyingi zimekuwa zikitolewa ili kuhalalisha mgao na...
Mh tulikuona ukizunguka sana hapa na pale ukiongelea kuhusu kupambana na maasifadi ukaja na TRACK yako nzuri sana na iliyo vuma sana tuu yakuwa nilazima kuvua magamba ndani ya CCM ilikurudisha...
Huyu kijina juzi nimeambiwa na wezake aliosoma nao UDSM kuwa kichwa chake kimeathiriwa na uvutaji, kwani pale chuoni alikuwa anaitwa kwa Nick name GANZI maana yake kichwa chake akisikii kitu...
Habari iliyopo hapa wilayani MAKETE ni Juu ya askari polisi kumuua mwalimu wa shule ya msingi,
Taarifa zinasema kuwa mwaalimu huyo aliuliwa jana usiku mida ya 2:30 na askali walio kuwa zamu...
Habari za leo WanaJF wote! Bila shaka sote tumefuatilia kwa ukaribu uchaguzi wa Kenya 2013 huku tukiwa na kumbukumbu kadhaa na uzoefu wa kutosha kuhusu siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.