Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nipo makini kufuatilia mwenendo wa media katika hii kamatakamata ya watuhumiwa wa kutekwa, kuteswa na kuumizwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda, na kuteswa wanahabari kwa ujumla...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Wakati watanzania tukisubiri neema tuliyoahidiwa na chama kinachoongoza dola tangu 2005 mpakasasa ambavyo kimsingi bado mwaka mmoja kianze kuomba ridhaa kwa wananchi tena ili kiingie madarakani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Guys i missed you. Hope you are all okey. How long will it take Tanzania to be where the USA is now? Swali hili hua linanitatiza baada ya kuona ugoigoi tulionao katika kusukuma gurudumu la...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Uchaguzi wa wajumbe wa mabaraza unafanyika siku ya jumamosi kuu 30/3/2013, siku ambayo watanzania wengi watakuwa ktk rush hours za kufanya shopping kwa ajili ya sikukuu, kwa wakristu wengi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wamekuwepo Tanzania na kufuatilia namna na jinsi mwenendo wa siasa za Tanzania unavyoenda Tangia kumalizika kwa uchaguzi mkuu 2010, watawala wetu na chama tawala wamekuwa na wakati...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, ni muda mrefu nimekuwa msituni, hongereni kwa kazi nzuri. Ninapenda sana historia, hasa inayotuhusu Waafrika. Natambua kwamba Chifu Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga (Mkwawa) ndiye mtawala...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanajamvi heshima kwenu. Akizungumza na wanahabari nje ya mahakama amependa watanzania wafahamu mteja wao wanaomtetea Mkurugenzi wa Ulinzi Lwakatare HAJASHITAKIWA Kwa yaliyowasibu Ulimboka na A...
2 Reactions
101 Replies
10K Views
Wana JF, Wakati mwingine unaweza kuona kama kichekesho au ni katuni. Katika siasa za wastaarabu, ambao wamefikia kuuona mlango wa kuelekea kwenye ukombozi wa fikra, unapomwona mtu anamponda...
2 Reactions
182 Replies
12K Views
Leo katika pita pita yangu nimekuta mahali huo msemo ''MJINGA MPE CHEO" sikuelewa sana msemo huu ila ilinibidi nifanye upekuzi niweze kujua nini hasa maana ya mjinga na kama kuna mafundisho...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Rais mstaafu wa awamu ya pili Ally Hassani Mwinyi mpaka sasa ndiye kiongozi pekee anayechukuliwa kuwa ni muungwana kutokana na kujiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani baada ya mauaji yaliyotokea huko...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamvi Hebu tutafakari kwa kina ni lipi ambalo serikali ya jk inaweza kusema imelifanikisha katika uongozi wake ? (a) Angalia mfumuko wa bei ulivyoathili maisha ya watanzania bei za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
17/03/2013 At work on his farm, Kayaza wonders whether Museveni ever thinks about the little boy who helped him escape into Tanzania. PHOTO/Joseph Batte (New Vision) They soon heard a lot...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa habari na picha za kisiasa, kiuchumi na kijamii kutoka Mbeya na Mikoa ya jirani, tembelea www.mbeyaleo.blogspot.com
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau heshima mbele! Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe. Kutoka na mambo ambayo ccm na serikali yake wanayafanya kuteka na kutesa watu, kuwabambikia watu kesi kwa ushahidi wa kutunga! Na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jukwaa la Wahariri Tanzania, na Waandishi wa habari kwa ujumla linachangia maisha magumu ya watanzania kwa sasa. Wahariri wa habari wamegeukana wao kwa wao, hawatetei ukweli, wanatumikia vyama...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Magharibi, kimetangaza maandamano makubwa ya amani tar 25/3/2013 ya kushinikiza kujiuzulu kwa Waziri wa Elimu, Dk. Shukuru Kawambwa na Naibu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndg wanajf Katika ukurasa wa FB wa ITV kuna habari ifuatayo"wagonjwa waendao ktk hospitali ya wilaya ya Iramba wako hatarini kupoteza maisha kutokana na ubovu wa barabara inayoelekea kwenye...
7 Reactions
72 Replies
8K Views
Hatmaye serikali imeanza kuilipa DOWANS baada ya kesi iliyokuwa mahakamani kuamuliwa DOWANS ilipwe.
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Kwa Mujibu wa Gazeti la Majira, Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe amemtimua katika nafasi yake Bibi Apolonia Mosha ambaye aliteuliwa na Mwakyembe mwenyewe katika wadhifa wa Meneja wa...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
Nashauri viongozi wa siasa wawe makini na wanachama wageni au wanaohamia bila sababu na bila kuwachunguza wanawavisha madaraka makubwa. Lwakatare alifukuzwa CUF baada ya CUF kulalamika siri za...
1 Reactions
89 Replies
8K Views
Back
Top Bottom