Nimesikia katika uchambuzi wa magazeti ya leo startv kuwa Katibu Mkuu wa chama cha NCCR-mageuzi Samwel Ruhuza wamemsamehe Mbunge david Kafulila ili kuimarisha chama na kuepuka jimbo kupotea...
Mungu mkubwa!
Habari za uhakika nilizozipata dakika kadhaa zilizopita zinasema mtuhumiwa mkuu wa utekaji na utesaji wa Kibanda, Ludovick Joseph, amekamatwa punde tu mjini Iringa.
Tulikotoka...
Mimi ni Mtanzania na ninaishi Tanzania.
Ninao wjibu wangu kisisasa kumchagua kiongozi anayenifaa ili aniletee maendeleo.
Nina wjibu wa kufuatilia ahadi za kiongozi ninayemchagua.
Nina wajibu wa...
CHADEMA chukueni hatua kwa mamluki bila kujali vyeo vyao. Haya nayasema kwa kuwa ushahidi wa kimazingira unaonyesha kabisa kuwa kuna mamaluki wengi sana CHADEMA.
Mamluki hawa wapo wanachama wa...
Wakuu ndiyo naingia newala sasa, na nimefika viwanja vya mahakama ya mwanzo ambapo Mheshimiwa Mkuchika amepanga kufanya mkutano wa hadhara,
ninachokiona hapa kinanishangaza,
watu wanashangaa tu...
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa, Alhaji A. Bulembo! amesema Waziri wa Elimu na Katibu wa wizara hiyo hawatajiuzulu kwa kushinikizwa na maandamano ya Chadema 25 Mach. katika majiji ma 4!
Haya...
Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.
Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote...
Wanachama wapya zaidi ya 200, wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro.
uamuzi wa wanachama hao kujiunga na CCM, ulifikiwa juzi katika mkutano wa...
Wakuu naomba msome kwa makini haya maelezo ya hawa watu hawa ni mashahidi muhimu sana kwa hii kesi ya Lwakatale.Binafsi naiona ni kesi rahisi sana, na hawa watu (4)wanamjua bukoba boy, na...
Katika hali ambayo inaonekana ni kama vichekesho sasa ni kwamba waziri kigoda kamrudisha ekelege kwa mlango wa nyuma, pia kayarudisha makampuni mawili yaliyofungiwa na TBS
655 WTM UTILITY SERVICES...
JUMATATU, MACHI 18, 2013 06:44 NA BENJAMIN MASESE, DAR ES SALAAM
*Chadema wahaha kumnasua bila mafanikio
*Kova kuanika maadui waliomteka Kibanda
HALI ya afya ya Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama...
Ukiwa mfuatiliaji wa mwenendo wa wanasisa na hasa viongozi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) utagundua kuwa kuna ambao wako makini na kujiepusha kabisa na vitendo na kauli ambazo...
========================Je, Ben Saanane atatajwa mahakamani???========================
Imefahamika kuwa zaidi ya kuwa na tuhuma za kurekodiwa akipanga utekaji nyara, Bw. Lwakatare pia anatuhumiwa...
Hali ya Afya Ya Mwenyekiti wa Jukwaa La Wahariri na Wahariri Mkuu wa Habari Corporation , Absolom Kibanda, kuendelea kuimarika ambapo sasa ameruhusiwa Kutoka hospitalini alikolazwa.
Akizungumza...
Baraza la Maaskofu Zanzibar limekanusha halihusiki na waraka wa vitisho dhidi ya Wapemba na mpango wa kuhujumu Waislam kwenye miskitini kwa kutumia mabomu.
Tamko hilo limetolewa na Makamu...
Fri, Mar 15th, 2013
The pathetic state of the Tanzania's Central Railway Line is set to be history as two German firms have shown interest in reviving and modernising it.
Addressing journalists...
Habari ndugu
Unadhni ni kijana gani anaye fanya vizuri na ambaye awe mfano wa kuigwa kwa vijana wenzake kwa siasa za Tanzania kwa sasa,kwa sababu zako unazo zijua wewe?
Mimi nimemchagua January...
Tarehe za kuomba nafasi za ujumbe wa mabaraza ya katiba mwisho ni ijumaa ya wiki hii.
Ni nafasi adimu kwetu kuichambua rasimu ya katiba.
Katiba hii ndiyo itakayotufikisha kilele cha...
SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi Makao Makuu na Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kutoa kauli tata kuhusu uchunguzi wa tukio la kutekwa, kuteswa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk...
Taarifa rasmi Jumamosi na Jumapili wiki hii Katibu wa uhusiano na uenezi Taifa kitengo cha Vijana wa NCCR-mageuzi ndugu Deogratius Kisandu na ndugu Hemed Msaba Kanoni mjumbe wa Halmashauri kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.