Leo katika pita pita yangu nimekuta mahali huo msemo ''MJINGA MPE CHEO" sikuelewa sana msemo huu ila ilinibidi nifanye upekuzi niweze kujua nini hasa maana ya mjinga na kama kuna mafundisho mengine kuhusu anaeitwa mjinga.
Mafundisho mengine ni haya hapa
Tuanze kwa kujiangalia mimi na wewe je, si ni wajinga???
Je tumepewa vyeo tulivyo navyo katika familia zetu kwa sababu ya ujinga wetu?
Je sisi ni chukizo na huzuni kwa baba na mama zetu kwa sababu ya ujinga wetu?
Je tunatumia hekima kwenye kufanya maamuzi katika familia zetu ama tunatumia ghadhabu?
na Je tunaamini kila tunachoambiwa ama tunatumia tadhari pia?
haya ni maswali ya kujitafakari sisi wenye kabla hatujaenda upande wa pili, yaani viongozi wa jamii zetu kwa maana ya viongozi wa dini, siasa, n.k
Viongozi wa DINI Tanzania Wakoje.
kiongozi mzuri ni yule asiyependa unafiki, kuwa na makundi, anayetumia busara za hali ya juu kuiongoza jamii yake (wafuasi wa dini yake) bila kuleta chukuizo kwa wafuasi wake, hatumii ghadhabu wala kisasi kwa muumini wake pale anapopotoka bali humshauri kwa upeendo. Hackukizwi kukosolewa bali hupokea ushauri ama kukosolewa huko kwa tahadhari na busara.
Je viongozi wa dini yako wako hivyo?
Viongozi wa serikali na siasa kwa ujumla
Kiongozi mzuri ni yule asiyependa unafiki, kuwa na makundi, anayetumia busara za hali ya juu kuiongoza jamii yake (wananchi wake) bila kuleta chukuizo kwa watu wake, hatumii ghadhabu wala kisasi kwa wananchi wake pale anapopotoka bali humshauri kwa upendo. Hachukizwi kukosolewa bali hupokea ushauri ama kukosolewa huko kwa tahadhari na busara nakuufanyia kazi.
Je viongozi wa serikali na siasa kwa ujumla wakoje?
Misemo iliyohapo hapo juu inakisi falsa ya Mjinga Mpe cheo?
Je viongozi wetu ni watu wa ghadhabu, wenye kuleta chukizo kwa wazee na hata vijana?
Tujadiliane
Mafundisho mengine ni haya hapa
Hekima za Suleiman: Mwana mjinga ni huzuni kwa baba yake na ni uchungu kwa mama aliyemzaa.
iMethali: Mwenye hekima huogopa na kuepuka ubaya,+ lakini mjinga anakuwa na ghadhabu na mwenye kujitumain
Solomoni: Mjinga huamini kila kitu anachoambiwa, lakini mwenye busara huwa na tahadhari.