The Rotten Tanzania

The Rotten Tanzania

Noor

Senior Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
146
Reaction score
49
Guys i missed you. Hope you are all okey.

How long will it take Tanzania to be where the USA is now? Swali hili hua linanitatiza baada ya kuona ugoigoi tulionao katika kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.
 
Tanganyika is not rotten as per your thread but ccm with its culprits.Wait and see what will happen in 2015.
Guys i missed you. Hope you are all okey.

How long will it take Tanzania to be where the USA is now? Swali hili hua linanitatiza baada ya kuona ugoigoi tulionao katika kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.
 
Guys i missed you. Hope you are all okey.

How long will it take Tanzania to be where the USA is now? Swali hili hua linanitatiza baada ya kuona ugoigoi tulionao katika kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.

Why R U asking Derogatory Question like that? Jarib kuulizia kama tutafika at least Uchafu wa India; au Usafi wa Thailand not USA...
 
Haiwezekani labda mkoloni mjerumani arudi

Kwa maana itachukua muda hadi vizazi[FONT=Arial, sans-serif] vilivyopo vipotee katika uso wa dunia. Na vije vizazi visivyo na tamaa ya kujilimbikizia mali?[/FONT]
 
siku patatokea kizazi chenye uchungu kuifikia USA,assuming rasilimali zetu hazijamalizwa na waporaji na makuwadi wao,tutaifikia Botswana,USA?kichuguu kiwe kirefu kama mlima Kilimanjaro?
 
Hata tukibadilishana NCHI Tanznaia tuwape America na America TUWAPE Tanzania ndani ya miaka kumi tu ukiwaita wa america waje kuona nchi yao nadhani watazirai na wengine watajinyonga, maana kila kitu kitakuwa hoi bin taabani
 
Guys i missed you. Hope you are all okey.

How long will it take Tanzania to be where the USA is now? Swali hili hua linanitatiza baada ya kuona ugoigoi tulionao katika kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.

Kuna magurudumu mawili, la serikali na mtu mmoja mmoja. Serikali goigoi ila individually TZ kila mtu anasukuma gurudumu lake mwenyewe na familia yake kwa njia za mkato kama kuuza unga, meno/pembe za ndovu, rushwa, uganga wa jadi, n.k. Wachache wanajenga, wanaenda holidays nje, wanatibiwa nje, n.k.

Ila hata USA kuna sehemu na sehemu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom