DOWANS waanza kulipwa rasmi na serikali

DOWANS waanza kulipwa rasmi na serikali

walikata kwenye bajeti za wizara zote miezi miwili iliyopita kuchangia hizo hela,lilikuwa agizo la serikali kwa maandishi kwenye taasisi zote za serikali kwa kisingizio cha kuchangia uendeshaji wa TANESCO
 
walikata kwenye bajeti za wizara zote miezi miwili iliyopita kuchangia hizo hela,lilikuwa agizo la serikali kwa maandishi kwenye taasisi zote za serikali kwa kisingizio cha kuchangia uendeshaji wa TANESCO
wamelipwa kwa bajeti ipi sasa,
 
Ina elekea zile sarakasi hazikuzaa matunda. Ohh atulipi deni! Ohh mwenye kampuni hajulikani! Haki ya mtu haitiwi kidole
 
Zitto alionya kuvunja mkataba wanasheria uchwara wakajifanya kubisha, sasa kwenye court ya kimataifa ya biashara na ya ndani tumekula mweleka na gharama ya fidia ni kubwa kuliko bei waliyokuwa wanataka kutuuzia,

sasa fidia tunalipa na Rostam kaingia ubia na Wamarekani ili kuwaziba wanasiasa midomo, kwenye Symbion hii ilobadilishwa jina toka Dowans hatumsikii Slaa,mbowe,sitta wala Mwakyembe wakati mitambo ni ileile iloitwa chakavu, wamefyata kisa Marekani ina hisa so wakipinga itakula kwao.

Sasa Rostam anakula Fidia,anakodisha Mitambo kama kawa na kelele zimestop kwa nini wahindi wasitudharau?
 
shamba la bibi mwenye uwezo unavuna tu.!!
 
Zitto alionya kuvunja mkataba wanasheria uchwara wakajifanya kubisha, sasa kwenye court ya kimataifa ya biashara na ya ndani tumekula mweleka na gharama ya fidia ni kubwa kuliko bei waliyokuwa wanataka kutuuzia, sasa fidia tunalipa na Rostam kaingia ubia na Wamarekani ili kuwaziba wanasiasa midomo, kwenye Symbion hii ilobadilishwa jina toka Dowans hatumsikii Slaa,mbowe,sitta wala Mwakyembe wakati mitambo ni ileile iloitwa chakavu, wamefyata kisa Marekani ina hisa so wakipinga itakula kwao. Sasa Rostam anakula Fidia,anakodisha Mitambo kama kawa na kelele zimestop kwa nini wahindi wasitudharau?
sii unajua tena wenzetu afanyalo mzungu tena mmarekani ni sahihi,afanyalo muarabu ni baya haramu
 
Nakiri kwa ulimi na nafsi yangu, NA KWA MANENO YALIYOKOLEZWA NA RANGI HII inayobadilikabadilika, Kwamba
ROSTAM ni sijawahi kutegemea nitakuwa naishi NCHI MOJA anayoishi kiumbe huyu.

Sheria ya kuua hata kwenye vitabu vya dini zipo kwa ajili ya kiumbe huyu


Duniani wameumbwa watu, wanaadamu na wanyama, lakini wengine kama huyu jamaa haieleweki ni kundi LIPi, hayupo katika hayo

Kabla sijazaliwa nilihisi harufu ya Viumbe kama hawa ambao hawajali maisha ya binadamu, maana wao si kundi la wanyama, nilipata akili nikajihoji mwenyewe, kwamba, "hivi huyu! alishawahi kupigiwa kura na binadamu, na wakampa kura? Akaongoza jimbo kweli?
 
Zitto alionya kuvunja mkataba wanasheria uchwara wakajifanya kubisha, sasa kwenye court ya kimataifa ya biashara na ya ndani tumekula mweleka na gharama ya fidia ni kubwa kuliko bei waliyokuwa wanataka kutuuzia, sasa fidia tunalipa na Rostam kaingia ubia na Wamarekani ili kuwaziba wanasiasa midomo, kwenye Symbion hii ilobadilishwa jina toka Dowans hatumsikii Slaa,mbowe,sitta wala Mwakyembe wakati mitambo ni ileile iloitwa chakavu, wamefyata kisa Marekani ina hisa so wakipinga itakula kwao. Sasa Rostam anakula Fidia,anakodisha Mitambo kama kawa na kelele zimestop kwa nini wahindi wasitudharau?

naona kama hii post imekaa kidini vile!
 
naona kama hii post imekaa kidini vile!
Usiseme imekaa kidini sema unawaza KIDINI, Kitu Open kama hiki unazungumzia udini, Donda dugu la udini lipo kwenye Ubongo wako pole sana
 
Tatizo la Tanzania Siasa inaongoza nchi badala ya nchi kuongoza siasa. Chuki na fitina pamoja na akili mgando ni janga kwa Taifa hili.

Tumecheka na nyani tunaambulia mabua.Mh Zito pamoja na wadau wengine walishauri serikali inunue mtambo huo ilikunusuru nchi isiingie gizani pamoja ya kwamba sheria za manunuzi haziruhusu. Kamati ya Mwakyembe na Sitta alipinga vikali na kudanganya Umma kwamba haufai.

Katika mapendekezo yao walishauri serikali ivunje mkataba na mtambo huo uondolewe nchini AS SOON AS possible.

Kama kweli watendaji hao waliona hivyo kwa nini waliruhusu mtambo huo ubaki nchini?Inachoonekana siasa chafu za kupakana matope na unafiki ndo vinavyotutia umaskini wa kupindukia. Nchi inashindwa kutoa mikopo kwa wanavyuo au kulipa karo kwa walobahatika kupata wakati fedha zinachotwa kiunyanganyi. Haya mambo ya kudadia fani za watu hasa sheria tunaangamiza nchi.

Pamoja na hayo kwanini President asiingilie kati au autaifishe au hao Dowans/Symbion/Richmond tuwaombe watuonee huruma watusamee deni hilo. Kama ni hivyo unafuu wa kupata umeme ni hadithi ndo maana Mramba/Tanesco alisema ukweli kuwa hata Tanesco isilipe mishahara na huduma za uendeshaji zisitishwe Shirika haliwezi kusimama lenyewe lazma bill kwa mteja ziongezeke. Viongozi wetu hawataki kusema ukweli ingawaje ukweli unauma.

Mwache Rostam ale nchi twayataka wenyewe, hili deni linauma sana. Katika Program za RURAL ELECTIFICATION -UMEME VIJIJINI symbion anapendelewa sana wakandarasi wengi wananyimwa fursa hii.
 
Dr.IDRIS Rashid alisema tuinunue kwa 46bn tuu inakua yetu,sasa tunalipa 96bn na mitambo sii yetu!kisa mwakyembe na siasa zake
 
Kwa serikali hii lolote linawezekana,sauti ya mwisho hapa nchini ni sauti ya Rais pekee,kama yeye hajasema kuwa hyo pesa hailipwe bs ujue hakuna la maana hapo,kuna mda nafikiria kama mkuu wetu nae anaongozwa na kupewa amri na watu fulani
 
kumbe hata mwizi ni haki yake kuiba sio?
mwizi? mitambo imeonekana au unafiri mitambo ni kama macho yako kwamba unaziwanayo?
dawa kumbe ni USA tu.pikipiki ina kadi na mmiliki anajulikana alafu mitambo ya mabilioni eti haina hati zake,na wabongo wanakubali,SITTA nawenzake wametulstisha,ZITTO NA Dr.RASHIDI walikuwa wazalendo na tuliwaita majina ya kila aina.Chakeli chakweli tu.
 
Usiseme imekaa kidini sema unawaza KIDINI, Kitu Open kama hiki unazungumzia udini, Donda dugu la udini lipo kwenye Ubongo wako pole sana

Mtu mwenye hayo mawazo ya udini utamjua kirahisi tu - jaribu kupitia posts na threads zake hapa jukwaani, utambaini tu!

Siyo siri kuna watu hapa karibu kila jambo wanaliangalia kwa jicho la udini na zaidi wengine wanashabikia tu udini katika mswala ambayo hayana hata haja.

Lakini great thinkers hapa JF wengine ni Waislam na wengine ni Wakristo hawana huo ugonjwa! Lol!

UDINI NDANI YA MTU NI UGONJWA! Moja ya Symtoms zake ni kwamba ukiona mtu wa dini isiyo yako hata kama anafanya jambo la maana unajisikia kichefu kichefu! Its deadly disease!
 
Back
Top Bottom