Note:Moderators msiiunganishe hii,Tutaikumbuka Mungu akipenda baada ya uchaguzi mkuu 2015 kama tutakua hai.
Kinga za Marais wa zamani Jakaya kikwete na Benjamin Mkapa zitakapoondolewa mwaka...
Monday, 18 March 20
MPs concerned about deal
By Polycarp Machira
The Citizen Reporter
Dar es Salaam.
The Parliamentary Committee for Foreign Affairs is concerned about the...
Katika mambo ambayo yameongeza mvuto wa shughuli za kisiasa hapa nchini, ni kile kinachoonekana kuwa Chama Cha Mapinduzi kushika hatamu katika kuonyesha dira ya uongozi wa shughuli za kisiasa hapa...
Ni kwasababu za kisiasa na kiulinzi/kiusalama imepelekea mafunzo ya JKT kurudishwa. Vivyohivyo nimeamua kuiweka hoja hii katika jukwaa la siasa, kwasababu mojawapo ya njia ya utatuzi wa HOFU...
(Pls mod husiunge na post yeyote)
Hîi ya video fake ni karata ya mwisho ya CCM kwasasa macho na masikio yao yote ni kwenye video hii ambao mtunzi ni Mwigulu Nchemba a.k.a Mj Press co ltd...
Mwaka 2015 ni mwaka wa kuangalia sana staili inayoanza kupata umaarufu a.k.a wizi wa kura kwa teknologia mpya barani Afrika. hivi sasa katika nchi hizo juu mambo hayako shwari (kesi za staili hii...
KESI inayowakabili vigogo wawili wa CHADEMA kwa tuhuma ya kumtolea lugha ya matusi Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigullu Nchemba imeshindwa kuendelea kusikilizwa baada ya mashahidi wa...
Taarifa nilizopata muda huu tukio likiwa linaendelea zinaeleza kwamba Jeshi la Polisi limeingia Ofisi za CHADEMA Makao Makuu Muda Huu Jumapili ya leo, na Lwakatare... Wanaendelea na Upekuzi...
Nimekuwa nikifuatilia sana chaguzi mbalimbali hapa nchini unakuta kama wapiga kura wameandikishwa 100,000 watu 40,000-50,000 wanaweza kujitokeza siku ya kupiga kura.je ni kutokana na kukata tamaa...
Kijana Anwary Kashaga akiwa na Tabasamu alijiunga CDM 2010 akitokea CCM
Leo kumefanyika Mkutano mkubwa Mjini Igunga uliohutubiwa na viongozi wakuu wa CHADEMA Wilaya pamoja na Viongozi...
Magamba mmetunyonya vya kutosha katika kila sekta kiakili tumeshakomaa. sasa endeleeni na propaganda nyanya tuone mwisho wenu mnajivunia hazina kubwa ya wajinga mnao wadanganya ila siku watakapo...
Baada ya wapinga maendeleo kuona kuwa wale tunaopenda maendeleo ya wananchi wa Tanzania tupo wengi humu jamvini, sasa wanatuita Pro CHADEMA. Nimeipenda hiyo. Mimi ni Pro CHADEMA kwa vile naipenda...
Mwaka 2008, juni niliwahi kuambiwa mtumishi wa Wizara ya Fedha kuwa Mwl Salma japokuwa si mtumishi wa Serikali lakini bado alikuwa anapokea mshahara toka Serikalini. Yaani mshahara ulikuwa...
Ndugu wana JF naomba mchambue kwa makini mtiririko wa takwimu za harakati za chama cha CHADEMA kuelekea ikulu 2015, mwenye maoni au logical statistical predictions anaweza kutuambia CHADEMA 2015...
Wana JF,
Wilfred Lwakatare ameitwa Makao Makuu ya Polisi sasa hivi kwa mahojiano na jeshi hilo kufuatia video clip iliyowekwa mitandaoni jana.
Kwa taarifa ni kuwa atawakilishwa na wakili...
Kada wa CCM Bulembo amesema maandamano ya CHADEMA yaanzie Kilimanjaro kwanza!
Amesema kila maandamano hayafanyiki Kilimanjaro bali sehemu zingine, na waziri na naibu wa Elimu hawajiuzulu kamwe
Habari yako Muungwana unayesoma hii thread,
Kwa kweli nimefikiria na hata kuchunguza kwa utafakari wa hali ya juu jinsi neno Amani litumikavyo dhidi ya wananchi pale serikali itakapo kuwadhulumu...
Mbunge wa kuteuliwa, mh.James Mbatia, amegomea uteuzi uliofanywa na waziri mkuu, Mizengo Pinda na kutaja sababu tatu za kukata kushiriki katika tume iliyoundwa kuchunguza matoke mabaya ya kidato...
Mkoa maalum wa vyuo vikuu, kanda ya Dar es salaam, umefanya kikao cha kujadili mipango na mikakati mbalimbali ya kuimarisha Mkoa huo na Chama kwa ujumla.
Pamoja na Ajenda hiyo, pia kikao...
Wakuu,
Nadhani mnafahamu kuwa serikali ilipiga marufuku mikutano yote inayohusu gesi mkoani Mtwara,
Kinachoshangaza ni baadhi ya hawa viongozi tena wa ngazi za juu serikalini kufanya mikutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.