Lissu: Lwakatare hajashitakiwa KUMDHURU Kibanda, Ulimboka; Serikali nani alihusika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lissu: Lwakatare hajashitakiwa KUMDHURU Kibanda, Ulimboka; Serikali nani alihusika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Karibuni masijala, Mar 18, 2013.

 1. K

  Karibuni masijala JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2013
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi heshima kwenu.

  Akizungumza na wanahabari nje ya mahakama amependa watanzania wafahamu mteja wao wanaomtetea Mkurugenzi wa Ulinzi Lwakatare HAJASHITAKIWA Kwa yaliyowasibu Ulimboka na A Kibanda je Serikali ituambie ni wakina nani wanahusika na Utekaji huo?

  Hivyo waliokuwa wanaeneza uvumi Lwakatare anahusika, Serikali haijaona uhusika wake bali kwa ambaye haja tekwa mhariri wa Mwananchi Msaakii

  Wanajamvi kwa kauli hiyo Serikali na sisi nani kamteka Ulimboka na Kibanda na hata Mwakyembe kwa yaliowasibu.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 44,372
  Likes Received: 13,991
  Trophy Points: 280
  Hivi unategemea watakuwa na majibu? Watakwambia ni yle mkenya wa kova!
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2013
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,250
  Likes Received: 4,690
  Trophy Points: 280
  Kuwa na subira kaka mambo ndiyo yameanza.
   
 4. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2013
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Wanasema ni kama ulimboka.
   
 5. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2013
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,051
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tz ina maswali mengi kuliko majibu. Acha tuendelee kusubiri hadi 2015, tutaona mengi na kusema machache, kwa kuwa Mungu alitupa macho mawili na mdomo mmoja, ili tuone mengi na kusema machache.
   
 6. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2013
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Matokeo mabovu ya f4 yanasababishwa na serikali kuegemea siasa kwa zaidi ya 85%.ULIWAHI KUONA WAPI SERIKALI INA INTIMIDATE RAIA WAKE KAMA SI UKOLONI NI NINI?MBUNGE WA STD5 APEWE UNYENYEKEWA NA PROF?TANZANIA NI SAWA NA TAIFA STARS A.K.A SHAMBA LA....!
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2013
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,508
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  Wana haraka kama cha kwanza, hii ni video moja tu kati ya tano za mutu ya Bukoba, kabla haijamalizia na kile kitabu cha TUNTEMEKE ndani, wauaji wotenlazima waanikwe hadharani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2013
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,593
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Huu ndo unaitwa ULAGHAI. Yaani mwanasheria anatoka kwenye kesi badala azungumzie kesi hiyo ni ya nini yeye anasema kesi hiyo SI ya nini!!! Halafu kuna mijitu inashabikia. Hata angewaambia hakimu wa leo kavaa suti nyausi mngeridhika.

  Hizo kesi nyingine sio mada ya leo, mada ya leo ni makosa manne aliyoshitakiwa Lwakatare likiwemo la kutoa sumu ya kudhuru binadamu.
   
 9. B

  Balali JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2013
  Joined: Dec 29, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siion tofauti ya avata yako na akili zako
   
 10. master peace

  master peace JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2013
  Joined: Dec 19, 2012
  Messages: 1,451
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "Ni Kheri Dr. Slaa aingie ikulu, kuliko Tundu Lissu kuingia bungeni" By muishiwa dhaifu a.k.a fastjet a.k.a bwana maendeleo a.k.a mzee wa ahadi a.k.a muasisi wa udini a.k.a ni upepo tu utapita a.k.a maisha bora kwa kila mwanamtandao a.k.a kilazest a.k. a msanii anaye ongoza kwa safari duniani.
   
 11. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2013
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,015
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Hujakosea kabisa, mambo ndo kwaaanza yanaanza....
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2013
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,842
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
   
 13. H

  Haludzedzele JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2013
  Joined: Nov 22, 2012
  Messages: 800
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kwenye ukweli uongo hujitenga tuendelee kuwa na subira tutayajua mengi sana
   
 14. B

  Balali JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2013
  Joined: Dec 29, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni mawazo yake, nahaya uloandika ni yako tatizo lipo wapi, sio lazima kila mtu aridhike.
   
 15. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mi nadhani lwakatare ndio anapaswa kutuambia alikua anakula njama za kumteka nani siku ile na amashafanya hivyo kwa watu wangapi na ni kina nani hao???haya ndio maswali ya msingi
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2013
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,301
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  mshachelewa sana mjomba. tushaingiliana kama wapalastina na mayahudi.

  tulieni tuzae na nyinyi tu, mpaka kieleweke.

  ccm=chama cha mapumbafu
   
 17. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2013
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kwani mfalme Riz moko ameshahojiwa? maana alichokimbilia ni kukana ulichoropoka, na vipi mwigulu nae uchunguzi unaendeleaa, tuko nyuma saana
   
 18. s

  solution JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2013
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ...Amazing this society and this nation ..has sink very low ...deep in the abyss ... No one with any grain of WISDOM!!
   
 19. E

  Earthmover JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2013
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 13,894
  Likes Received: 3,975
  Trophy Points: 280
  ......magamba rudini tena studio... hii imekosa bei ......wapi the big bushbaby .....
   
 20. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,101
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  Lwaka anastakiwa kwa kujihusisha na matendo ya kigaidi ndani yake lipo la kibanda
   
Loading...