Katika kutafakari hali inavyokwenda., nimekumbuka kipindi flani ambapo Ng. Kikwete alisifika kwa kua mtu Social, nakujipatia tittles nyingi along that line., mtu muungwana sana, mpenda watu., mtu...
Amesema amefanya kazi na marais 4, hana utajiri. Hivyo walio matajiri ni wezi.
Source: ITV
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, ametahadharisha viongozi wa dini nchini kuwa...
Mwaka jana kwenye mkutano wa siasa huko kibaha bwana mdogo Mwigulu alisema ana video ya viongozi wa chama kikuu cha upinzani wakipanga mauaji.Yeye mnamkamata na kumhoji lini ili asaidie jeshi...
Anasema shule za wakunga na wauguzi zipo 75 kati ya hizo za serikali ni 38 tu.
Ntaendelea kuwapa some update sababu hapa alipo mtandao unasumbua sana so malengo ya update yanafail. mia
WAKATI afya ya Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, ikiendelea vizuri, daktari wa serikali aliyefika polisi kumwangalia anadaiwa...
Wadau,
naombeni muniwie radhi ila leo sina budi kuwadisi waandishi wa habari wa Tanzania. Nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi kuwa eti Waandishi Wanakutana na Dola Kujadili Usalama
Unakwenda...
Kwa wanaCCM wote.
Kwa hili la kutengenezea watu kesi nzito mnaweza mkajiona mmeshinda ndo maana naona kuna uzi umefunguliwa na Marcopolo humu vijana wa CCM wanajibidisha kweli kuchangia...
MKAKATI WA KULETA MAENDELEO KATIKA JAMII
Maendeleo ni nini?
Maendeleo ni hali au mchakato wa kukua/kuboreka kwa jambo Fulani. Hii inaweza kukua/kuboreka kwa Elimu, Mazingira, Afya, Uchumi...
Naibu wazir wa nishati yupo Mtwara now kama mgeni rasmi katika semina inayofanyika chuo kikuu cha SAUT yenye title "good governance and sustainable development of natural resources " update za...
Diwani viti maalum CHADEMA na aliye kuwa kampeni meneja wa mbunge MBASA, jumatano ya wiki iliyopita alikatwa mapanga na mmewe kwa ugomvi wa kifamilia hali yake ni mbaya sana kwani alikuwa...
Nimelifuatilia suala la kuvamiwa mwandishi kibanda na nimeona kuna wingu fulani limetanda ambapo kuna uwezekano mkubwa ikawa watu au chama fulani cha kisiasa (jina silitaji kwa sasa) wanataka...
Written by Ashakh (Kiongozi) // 19/03/2013 // Habari // 42 Comments
Zanzibar.
Askari wa Upelelezi wa Marekani (FBI) waliokuja Zanzibar kusaidia uchunguzi wa kumpata aliyemuua kwa kumpiga...
Huyu bwana jina lake ni Mussa Ali Mussa kauli zake ni za kushangaza sana. Haonyeshi weledi wowote kwa nafasi yake aliyonayo kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi wote waishio visiwani...
Kila tukio baya na la kusikitisha CCM kwa kushirikiana na vyombo vya dola wamekuwa wakitupa lawama hizo kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Matukio ya migomo ya vyuo vikuu - chadema inahusika...
Sitta: Zikataeni fedha chafu kanisani
​
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta.
Na Raymond Kaminyoge, Mwananchi (email the author)
Posted Jumatatu,Marchi18 2013...
Chama Cha Wananchi (CUF) kimepata pigo wilayani Geita, baada ya wanachama 203 wa kata ya Nkome kukihama na kujiunga na CCM.
wanachama hao walipokelewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi Taifa...
Clouds FM: Nimemnukuu Mkaguzi na Msimamizi wa fedha za wananchi. Akisema "tutakuwa wakali sana kwa halmashauri zenye hati chafu kwa sababu ya kutoweka mahesabu sawa ya fedha za wananchi, tutakuwa...
Wana Jamvi habari zenu wote?
Ndugu zangu nimesikia tu kwamba Serikali ya CCM chini ya Rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete imeanza kulipa fidia kwa Kampuni hewa ya Dowans; malipo ambayo kwa ufahamu...
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimetangaza kutokubali kupitishwa kwa bajeti ya serikali ya mwaka 2013/14 hadi hapo madai yao yatakapokuwa yamelipwa.Pia chama hicho kimeionya serikali na Chama Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.