Kimboka
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 353
- 163
Ndg wanajf
Katika ukurasa wa FB wa ITV kuna habari ifuatayo"wagonjwa waendao ktk hospitali ya wilaya ya Iramba wako hatarini kupoteza maisha kutokana na ubovu wa barabara inayoelekea kwenye hospitali hii kwa uwepo wa mashimo makubwa na ya hatari"
WAKUU napenda kuweka wazi kuwa ktk hii ndio hali iliyopo ktk jimbo la FIRST CLASS DEGREE WETU WA B.O.T AMBAE AMEKUWA AKIJAZWA UONGOZI NA CHAMA CHAKE CHA CCM KUTOKANA NA UROPOKAJI WAKE WAKATI WANANCHI WAKE WAKIENDELEA KUUMIA KWA SHIDA MBALIMBALI,
Wakuu pia napenda kuweka wazi kuwa ktk ziara niliyokuwa na waziri mkuu pale iramba mwaka 2011,Mh Pinda alitoa milion 400 kwaajili ya ukarabati wa barabara hiyo yenye urefu wa km 1 mpaka hospitalini hapo lakini mpaka sasa hakuna kilichofanyika na kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika ni kuwa pesa hizo limetafunwa na mbunge wao Mwigulu Nchemba akishirikiana na mkurugenzi wa halmashauri hiyo aliekuwepo ndg. Femwa ambae sasa kahamishiwa Kinondoni,pia DC GRACE MESACK ambae amestaafu hv karibuni,
Wakuu ni rai yangu kwa ndg KITILA MKUMBO kuacha kufanya siasa za polepole ambazo hazitaweza kumwondoa ndg Mwigulu,kwa mfano KM alifika eneo la Sekenke ambako kuna mgogoro mkubwa madini ambao una mkono wa Mwigulu na Rizwani lakini cha ajabu wachimba madini walimsimamisha Kitila but akapuuza kwa kupita kasi na gari la M4C akiwa na Waitara,hivyo namwomba mwl wangu Kitila Mkumbo kuacha siasa za kipole mbele ya mtu kama Mwigulu Nchemba,
HUU NI WAKATI WA KITILA MKUMBO KWENDA IRAMBA AU KUTUMA MAKAMANDA KAMA AKINA LEMA,ZITTO KUFANYA MASHAMBULIZI YA KUMWONDOA MWIGULU NCHEMBA.
Gossip cop wa JF.