Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Sioni kama kuna mtu, polisi,serikali, wala chama cha siasa,wala msajili wa vyama sioni mwenye nia ya dhati ya kuondoa siasa za udini katika nchi ya tanzania nasema haya kwasababu ya kitendo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunafahamu kuwa ndani ya CCM kuna watu wanaojinadi kuwa wanafaa kuwa viongozi wetu katika ngazi ya uraisi wa nchi yetu baada ya Kikwete kumaliza muda wake 2015. Na watu hawa wamepata watetezi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bado mnaruhusu wagombea wa CCM,hadi leo hii,kupita bila kupingwa? Hadi leo hii mnaamini kuwa Makamanda wachache wa mikoani wanaweza kuwabadili wananchi bila nguvu ya pamoja? Bado mnaamini kuwa...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Wakuu wana jamvi bila shaka hamjambo! Kama ilivyo ada hili ni jukwaa la great thinker sidhani kama ni other wise ! Kwa wakati huu ninapo andika haya kuna kundi dogo la watu wako kwenye mkakati wa...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
WAZIRI wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amewatuhumu viongozi wenzake ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa walishiriki kwenye njama ovu za kumnyang'anya uspika kwa sababu...
1 Reactions
67 Replies
6K Views
Waziri mkuu MKPP ameyasema hayo wkt akizindua ujenzi wa kujenga kiwanda cha Saruji mkoani mtwara ktk kijiji cha madimba. amesema kuwa wana mtwara wasiwe na wasiwasi kwani ni kiasi kidogo tu cha...
3 Reactions
89 Replies
7K Views
Komba ameshauri wabunge wanaochochea vurugu hapa nchini waende jeshini wakajifunze uzalendo waache kuhubiri siasa za ubaguzi. akatolea mfano wa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni tundu lissu...
0 Reactions
205 Replies
22K Views
Wiki iliyopita Mh Dr John Pombe Mgufuli, Waziri wa Ujenzi, akiongea na Makandarasi wa Kitanzania, alipngea kitu ambacho mimi binafsi kimenifurahisha sana. Bodi ya Usajili wa Makandarasi nchini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Ni suala lilo wazi kabisa kwamba CCM kwa sasa ndio chama kinachoongoza kufanya siasa kwenye nyumba za ibada(Makanisani na Misikitini) huku kikirusha tuhuma hizo kwa vyama vingine vya upinzani kama...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Soma full hotuba. Mafisadi wa ardhi wamelipuliwa
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Ijumaa Mei 24, 2013 Habari JWTZ wakanusha taarifa za askari kujihusisha na makahaba DRC Share bookmark Print Email Rating...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Nashangaa viongozi wa kiafrica wanavyo lalamika kwamba ICC hawawakamati wazungu wanang'ang'ania viongozi wa afrika so wameamua kujilinda. Mimi sikubaliani nao kwa sababu1. marekani wanayoisema...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu, Nimeona ni vema tukajaribu kuakisi haya kabla hatujaanza kusaka mchawi. Kumbukumbu zipo, nyaraka zipo na tuna vitu vingi vya kuanzia wakati tukisaka suluhu ya kinachojiri Mtwara. Tuanze...
104 Reactions
190 Replies
18K Views
Nguli wa siasa hapa nchini, mhe. Mwigulu Nchemba (mkali wa siasa za kidigitali) amekuwa akiwapeleka mchakamchaka CHADEMA kwa kipindi kirefu sasa, mchakamchaka huo umekuwa ukiwafanya CHADEMA kukaa...
0 Reactions
85 Replies
6K Views
Hivi ni Kwanini Watu wengi wanataka Mikataba ya Gesi na Madini iwekwe wazi? Ili iwe nini? Kwani itabadilisha nini? Mbona mambo mengi tu yako wazi tena muhimu na hakuna kilichofanyika? Mfano Elimu...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
  • Closed
Naomba niweke mawazo yangu binafsi dhidi ya kile kinachoendelea kwa sasa katika taifa letu, Awali ya yote mimi ni Muislam,nikiwa na maana ya kwamba naamini katika Mungu Mmoja muumba wa mbingu na...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Umefika wakati sasa wa kumuita mbunge wa Serengeti atueleze anafanya nini ili hali jimbo la serengeti hakuna huduma za jamii na wala hasumbui ubongo wake kufikiria hilo. Hivi wizara ya maji...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Waziri Mkuu Pinda awasilisha maombi kwa Maaskofu Kuzindua ujenzi kiwanda cha sementi leo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (Kushoto), akiongozana na Mbunge wa Mtwara Mjini kwa tiketi ya Chama Cha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mauaji ya Danes na Johnson Yazidi Kuzua Mengi By Kijoka Vyombo mbali mbali vya habari vililiripoti kwa kina kuuliwa kwa viongozi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) wa Kitongoji cha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mabasi 5 ya Champion yamebeba Wanajeshi yako njiani yanakuja. Serikali yatoa tamko yasema watu 91 wanashikiliwa. Bunge laahirishwa tena. Kupisha uchunguzi na kuepusha uchochezi kutoka kwa baadhi...
26 Reactions
695 Replies
57K Views
Back
Top Bottom