Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

HIli ndo chimbuko halisi ya FUJO za mtwara. Mnamo miaka ya 1980s mtwara ilikuwa ni moja ya mikoa maskini sana, nakumbuka mataruma yote ya reli yalitolewa, taa za airport zikatolewa ila wananvhi...
1 Reactions
0 Replies
955 Views
Mchawi wa rhymes, Profesa Jay amesema hakujiunga na CHADEMA ili mwaka 2015 awanie ubunge kama wengi wanavyodhani. Rapper huyo wa ‘Machozi, Jacho na Damu’ ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule...
15 Reactions
189 Replies
20K Views
nimekuwa ni mtu wa kujiuliza sana juu ya hawa waheshimiwa wanao itaka nchi hii kama watawala wenye maamzi ya mwisho kwenye taifa hili...nimejaribu kufuatilia mienendo yao kwenye ulingo wa...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
pambano linaongozwa na kituo cha Redio ya Kasibante inayomilikiwa na Kagasheki ambayo imeanzisha vipindi vya kuimba uzuri wa Kagasheki na kueleza upuuzi wa Dk Amani. Tayari kundi la madiwani...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika kile kinachoonekana kuwa ni Kuzidiwa kwa CCM katika Uchaguzi mdogo wa UDIWANI ktk Kata ya Elerai Wilaya ya Arusha Mjini Mgombea wake Ndugu EMMANUEL MAIKO, ameendeleza Siasa za Kampeni ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa na vyama vitatu vyenye nguvu sana CHADEMA, CCM, na CUF bado kuna haja ya kuwa na chama cha vijana . Mimi ni mwanachama wa chadema wa miaka8 s na nimlipaji mzuri wa kadi...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Dar-es Salaam. Zaidi ya Dola 22.5 milioni za Marekani sawa na Sh36 bilioni zinatarajiwa kutolewa kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Salam wana JF. Baada ya kukamilisha ziara ndefu na iliyojaa mafanikio katika mkoa wa Manyara, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa upinzani...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni mji ambo haukuwa unajulikana sana zaidi ya kukatawaliwa na wengi kwa uduni wake. Mkoa ambao ulisahahuliwa kielimu, kiuchumi nk. Nakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 90 na 80 mkoa wa mtwara na Lindi...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Ndugu wanabodi. Katika fuatilia yangu kwenye tasnia ya nishati na madini, nimegundua kama ilivyo kwa dhahabu na madini mengine, Tanzania itaendelea kutoka kapa au patupu bin sifuri, licha ya...
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Wana jamvi habari za asubuhi, Naomba mwenye updates zozote za mauji ya RPC Mwanza, Barlow au mwenye site ya gazeti la Jamuhuri maana limeandika hiyo habari leo. will appreciate
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Nidhahiri kwamba sasa Nchi yetu itafika mahala tutaanza kugombaniwa! Takwimu zinaonesha kuwa Maraisi karibia wote wa Mataifa makubwa wamefika tanzania, Tukianza na marekani pamoja na China! KIBAYA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maadui wa maendeleo Tanzania ni kama wafuatao Chama cha Mapinduzi. Viongozi wa serkali ya CCM Marafiki wa CCM Wafanyabiashara wanaotegemea ufisadi kutajirika Baadhi ya vyombo vya Habari (...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu jf... Mara zote wabunge wa CCM amekuwa wakijipambanua kuwa serikali yao ni sikivu na wamekuwa wakiunga hoja asilimia zote kuashiria kwamba serikali haijawahi kukosea..cha kushangaza sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KATIBU Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, amesema viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ni wanafiki ndiyo maana amani na utulivu vinaanza kupotea. Alisema serikali ya chama hicho ni mtuhumiwa...
2 Reactions
56 Replies
4K Views
Wadau mimi napenda kuuliza,hivi kutokana na vitendo hivi vya ukandamizaji na uonevu wa raia unaofanywa na jeshi la poliisi nchini, utwala huu wa Raisi Kikwete haupaswi sasa kuwekewa vikwazo na...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana jamvi hili nimesema niwaunganishe watu hawa wawili waliona jaribu kuja kuokoa jahazi hapa Arusha kwa kuisaidia CCM.kiukweli ni kuwa hawa wenyewe nadhani wanatamani kukimbia kwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
chama cha wananchi kuchukua nchi mwaka 2015 chama kimejipanga zanziba kuichukua na tanzania bara kuongeza wabunge wengi iwezekanavyo mipango ya operation kapambe kutangazwa hapo bdae ya komboa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bonge la tuhuma limetolewa leo eti CDM walipanga kuchoma jengo la CCM mkoa, nyumba ya meya, nyumba ya RPC yaan vyombo vyote vya iringa leo habari ndo hiyo!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Imekuwa kawaida sikia wabunge wa majimbo ya pembezo ambayo mpaka leo habari hazijawafikia kuwa ccm si chama cha maendeleo,kuonyesha matambo na mbwebwe nyingi.Majimbo yao ndio yale kila aendae na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom