Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,998
- 19,129
Hivi ni Kwanini Watu wengi wanataka Mikataba ya Gesi na Madini iwekwe wazi? Ili iwe nini? Kwani itabadilisha nini? Mbona mambo mengi tu yako wazi tena muhimu na hakuna kilichofanyika? Mfano Elimu matokeo ya mitihani yako wazi, tumefanya nini? Mbona tunaendelea tu na Maisha yetu kama kawaida na hatujachukua hatua yoyote?
hivi kesho Serikali wakiiweka hiyo Mikataba Magazetini, tutafanya nini, hata kama ikiwa ni ya kimagumashi?
Je wanaolilia Mikataba iwekwe wazi ni watu wavivu ambao siku zote wanapenda kudandia matatizo ya mbele na kuacha yaliyopo?