Sioni kama kuna mtu, polisi,serikali, wala chama cha siasa,wala msajili wa vyama sioni mwenye nia ya dhati ya kuondoa siasa za udini katika nchi ya tanzania nasema haya kwasababu ya kitendo alichofanya lipumba juzi katika msikiti fulani hapa dar cha kwenda kuhubiri siasa msikitini na kuwashawishi waislam kujipanga kuinusuru dini ya kiislam mwaka 2015 sijasikia kiongozi yeyote aliekemea jambo hilo hivyo limeonekana ni jambo la kawaida na hata kiongozi mwingine anaweza kufanya hivyo hii ni aibu kwa serikali.na ndio maana wanaambiwa wao ni waasisi wa jambo hilo.
Mudi naomba madahii isiondolewe wala isiunganiswe na nyingine ili tujariri kuikosoa serikali.
Mudi naomba madahii isiondolewe wala isiunganiswe na nyingine ili tujariri kuikosoa serikali.