Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
14,193
Reaction score
2,815
Komba ameshauri wabunge wanaochochea vurugu hapa nchini waende jeshini wakajifunze uzalendo waache kuhubiri siasa za ubaguzi. akatolea mfano wa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni tundu lissu ambaye mara kadhaa amekuwa akiingia katika mgogoro na bunge kwa kusababisha vurugu na kutoweka kwa amani katika chombo hicho cha kutungia sheria za nchi.

Akaenda mbali na kusema kuna wabunge wanapenda kuuza sura na ndio wanahabari wanawapenda sana kuuzia habari zao.

Amevikemea vyombo vya habari kwa kuwa chanzo cha kukosekana kwa amani ya nchi kwa kuandika habari za udaku na vurugu na badala ya kuandika habari za maendeleo.
 
Mh.komba amemtuhumu lissu kua anafujo kwa sababu hajaenda jeshi kunyoshwa na spika akakazia tena miaka miwili ili wauze sura vizuri kwenye magazeti ndo wanambinga mlichomtuma mbunge wenu huyo komba asiyetaka nyie msipate habari n kukashifu wenzake?
 
Kwa nini asimshauri LULU aende shule kwanza kuliko kumuharibu?

images

Komba, huu ndi uzalendo wa jeshini??
 
Du hapo sasa, Namwomba sana atafute mitandao inayozungumzia athari za machimbo ya makaa ya mawe akawatetee ndugu zake make mambo yamekaa vibaya kwa wakazi wa kijiji cha MTUNDUWALO kule Mbinga, awasaliane na mbunge mwenzake tuwape information ya athari za kiafya kwa watu wake badala ya kuvamia akina Mh. Tundu Lissu
 
Yaani Komba hana jipya kwasasa pia mlio
karibu nae mwambieni ajiunge na jf
ili tumjue vema.

Moto kauwasha vp atauzima sasa.
 
Ningekuwa dk wa komba ninge muandika fomul ya kula asubui maji ya moto mchana desh jion kipande cha muogo,mh, lissu yupo sawa wanataka wafanye makosa anyamaze ndyo maana cdm wanapo ona pesa znaibiwa tembo na rasilimal zetu wamekuwa mali ya mtu mmoja wanasema ukwel na ukwel una uma,na nukuu farisafa ya mh lema Dhambi kubwa na mbaya ni uoga,na uoga huo unatokana nakujua ukwel af hausemi kisa unaogopa,cdm ni jembe.
 
Mzalendo lilishabaki kuwa msamiati Tanzania,hata Komba nae aonye uzalendo wake kwanza tuuone
 
hivi uzalendo unafundishwa eeh????hawa mafisadi wa kileo hawakupitia JKT enzi za mwalimu??????mbona hatuoni huo uzalendo wanao uzungumzia ktk matendo yao?????????????
 
Mh.komba amemtuhumu lissu kua anafujo kwa sababu hajaenda jeshi kunyoshwa na spika akakazia tena miaka miwili ili wauze sura vizuri kwenye magazeti ndo wanambinga mlichomtuma mbunge wenu huyo komba asiyetaka nyie msipate habari n kukashifu wenzake?

huo ndio uwezo wako wote wa kufikiri mjomba?
 
Back
Top Bottom