Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana anaanza leo ziara ya siku saba mkoani Njombe akiongozana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, Katika ziara hiyo Katibu Mkuu atapewa taarifa...
Tukiwa kama viongozi wa kupinga gesi kuondoka, lazima tukuakikishie ukweli kwamba Wanamtwara ni wapenda Amani. Tunapenda maendeleo, tuko tayari kuongea, lakini maongezi yetu yazingatie mambo makuu...
Wakati akisoma Hotuba ya kambi ya upni bungeni,mbunge wa viti maalum Chadema Bi. Raya amesema kuwa tayari serikali ya Tz ilichapewa mgao wake wa Pound mill. 14 za Uingereza kwa ajili ya kuwalipa...
Hope for fair Comments and no abusive language!
Mwl. J.K. Nyerere
Dr. J.M. Kikwete
Text:
Sijafanikiwa kupata Text ya Mwalimu but nimepata ya Dr. Jakaya (Full Text hapa)
Uhusiano wa...
Akizungumza na kituo cha Radio cha Rock FM Mjini Mbeya, Mjumbe wa UVCCM TAIFA Ndg. Elius Ndabila amesema,
Wanaileje kwa sasa wanapaswa kuungana bila kujali itikadi zao kuijenga wilaya hiyo ambayo...
Ni maneno ya busara ambayo raisi wetu ameweza kutamka na watu kumwelewa. My take. Mbona mtwara ameweza kumaliza kwa jeshi pekee hivi hakujua kuwa jeshi pekee...
Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni Tomaso- (siamini mpaka niguse). Ila
jana nilipokua naangalia kipindi dakika 45 ITV nimesikia mambo mazuri ambayo ni tofauti na wengi walivyokuwa wanaongea kuhusu...
Thu May 23, 2013 9:34am EDT
* Mineral exports up 16 pct in 2012 to $2.3 bln
* Government to acquire 50 pct stake in tanzanite producer
May 23 (Reuters) - Tanzania is demanding almost $206...
Ni la $237m/- katika juhudi za nchi hiyo kuimarisha uhusiano wake na nchi 12 za kiafrika ikiwemo Tanzania.
Source: http://m.bbc.co.uk/news/world-latin-america-22669331
Brazil has announced...
Maoni ya katuni
Kumekuwepo na malalamiko ya kila wakati kutoka kwa wananchi yanayohusu utendaji na ufanisi wa Serikali kwa baadhi ya wizara ambazo huduma zake zina uhusiano wa moja kwa moja kwa...
Chama cha wananchi CUF kimeitaka serikali ya CCM iiombe radhi nchi ya Saudi Arabia kwa kuwakamata raia wake kimakosa kwa kosa la ugaidi na hivyo ni wajibu wa serikali kuisafisha nchi hiyo kwa...
ni baadhi ya maneno aliyowah kutamka baba wa taifa Mwl. Nyerere.. nackitika sana kwamba sasa watanzania wengi linapokuja suala la siasa.(exclusively siasa) wanaonekana wanapenda sana dini zao...
Kesho
Mawazo atawasha moto kwenye kata itakayorudiwa udiwani,jana alipitia
mabatini mwanza na kupiga mkutano wa hadhara akitokea Sengerema.VIVA
CHADEMA
watanganyika walio wengi husema eti zanzibar ikijitowa ndani ya muungano watapigana na kubaguwana
huu ni uzushi na khofu isiyo na msingi na kwanini watananyika muwaonee huruma wazanzibari...
Wana Bodi, sasa ni kipindi cha kusuka ama kunyoa, nawaeleza wazi kundi ili ni hatari kwa CDM chama kipenzi cha wengi hasa wenye akili timamu. FRM Membe, sitta, Mwakembe na Magufuri hawa...
MONDAY, MAY 27, 2013
Na Mashaka Mhando, Korogwe
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustapha Jaffer Sabodo ameipatia wilaya ya Korogwe visima vitatu vitakavyogharimu kiasi cha shilingi milioni...
Mimi nashindwa kupata jibu asilimia kubwa ya watanzania wamegeuza vyama vya siasa kama ushabiki wa timu za mpira wa miguu,wengi tunashabikia chama bila kujua faida na hasara ya chama...
Waziri wa Wizara ya Afrika Mashariki , Mh. SAMWEL SITTA anahitimisha hotuba ya makadirio ya Wizara yake huku akiwapasha CHADEMA kuwa wanashirikiana na vyama vya Kibwanyenye. Waziri SITTA amesema...
Jaman kuna huu msemo wa ktk BUNGE LETU TUKUFU
"NAOMBA KUONDOA SHILINGI KWENYE MSHAHARA WA WAZIRI" mimi bado cjauelewa vizur kama kuna mtu anauelewa wowote kuhusu huu msemo naomba aniambie maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.