Mhe Magufuli amemlipua kwa kumwambia mhe. Arfi aache kuwapa lawama Tanroads kwani kazi yao inakubalika na wanajitahidi katika kujenga miundombinu nchini.
Pia mhe. Magufuli amemueleza mhe. Arfi...
Mjumbe wa NEC Ccm na Mbunge wa Simanjiro Christopher ole Sendeka leo akihutubia ktk Mkutano wa Kuwanadani Wagombea Udiwani Jijini Arusha amesema kwamba Ccm ni Chama kama Vingine na Kinaongozwa na...
Ni ukweli usiopingika kuwa waislam wengi hawajapata elimu dunia.Sawa hii ni kutokana na historia ya ukoloni wa nchi hii.Kwanini wasipewe upendeleo wa elimu kama wanavyopewa wamasai?
Rais Jakaya Kikwete ameyasema hayo Mjin Adid Ababa Ethipia kwenye Kikao cha AU mbele ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bank M
Amesema Pamoja ma Nguvu za Kijeshi, Pia pande zote mbili...
Habari wana JF, kwa wasiomjua lusinde ni mbunge wa mtera,kimsingi ni mwanasiasa ambaye anatamba kwa siasa za matusi zikihusu ushoga,gay marriages,na matusi mengine...
Kama kweli CHADEMA iko serious kutaka kuingia ikulu ni lazima ikapanga wagombea wake kama nilivyopendekeza yaani mgombea urais awe ni Dr slaa na mgombea mwenza awe ni Zitto. Mchanganyiko wa timu...
SIRI za mzozo wa gesi mkoani Mtwara, imeelezwa kuchangiwa na udhaifu wa serikali pamoja na vyombo vya dola, Tanzania Daima Jumapili limedokezwa.
Mzozo huo ambao tayari umeshasababisha vifo...
Sehemu kubwa ya mijadala kuhusiana na uchaguzi mkuu 2015 inatawaliwa na hoja zinazohusiana na personalities – ‘choices' za baadhi ya wanachama lakini hasa viongozi wakuu wa vyama vya...
Click the link below
PRAISE SINGER OF SWAZILAND'S KING MSWATI III IN ACTION IN ADDIS ABABA - YouTube
Picha Chini Mwakilishi wa KUDUMU wa TANZANIA - UN - NEW YORK TUVAKO MANONGI akiongea na...
Wanajukwaa la politics!
hv nashindwa elewa vema: tatizo ni CCM au tatizo ni mfumo wa CCM
maana kuna viongozi kadhaa wazuri mfano deo, kessy, magufuli, mwakyembe, kangi, nk.
na uzuri wa CDM ni...
Uchaguzi wa udiwani kata ya iyela mbeya mjini. Unaendelea kuibua mambo. Leo asubuhi mabalozi wa ccm ndugu NENULA,SOTE, NA Mwingine ambaye jina lake halikupatikana maramoja, wa mtaa wa nyibuko kata...
Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA kamanda Wilfred Lwakatare anatarajiwa kufikisha katika mahakama ya Kisutu leo Jumatatu asbhi Kwa ajili ya kesi moja aliyobakiwa nayo na kushughulikia...
Mhe. JAMES MBATIA asubuhi hii ameiuliza serikali kupitia ofisi ya waziri mkuu, na swali lake kujibiwa na Waziri Agrey Mwanri kwa niaba ya Waziri Mkuu.
SWALI; Je, ruzuku inayotolewa kwenye huduma...
Pamoja na ukweli kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinakuwa kwa kasi kubwa na kupata uungwaji mkono wa kiasi kikubwa kutoka kwa wananchi wa kada mbali mbali nchini,bado ni vigumu...
Kila kundi ndani ya CCM linalowania kutaka kutoa mgombea urais kwa sasa limehamia na kukita ngome ndani ya nyumba za ibada hususani makanisani.
Kwa sasa karibu kila wiki utaona walau kiongozi...
Ndugu wanajamvi wakati wa sensa ya watu na makazi WAISLAAM walitoa hoja eti wanataka kuhesabiwa mpaka swali la dini liwekwe kwenye madodoso ya sensa.
Hoja kuu waliyotoa ni kuwa zipi taasisi...
Mods:naomba msihamishe kwani lengo ni tofauti sana na hata kama kuna kufanana kwa baadhi ya vitu ila si sawa.
Kila matukio kama ya kuzindua uwekezaji au hata kupokea misaada kutoka nje,watanzania...
Ndugu zangu Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu. Kwa muda sasa kumekuwa na viashiria kuwa nchi yetu Tanzania imekuwa ikinyemelewa na mabepari hasa baada ya kugundulika kuwa ina rasilimali...
Its becoming hot as no body thought it would be. It seems as a planned provocation. I was thinking and I didn't got any better answer than the conclusion I will put below.
Faith is not part of...
Habari za leo wanaJF, Mbunge wa Tabora mjini Mhe.Aden Rage amesema magazeti mengi nchini huandika uchochezi bila kuutaja ni uchochezi gani unaoandikwa? Awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.