Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wabunge kwa mazoea na fashion wanasema kwa mbwembwe."Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni".Hawa ndio wabunge wetu. "...Mnyonge mnyongeni...". Sijui kama watu wazima kama hawa na elimu zao ...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wiki jana nilikuwa napitia cuttings ya jamaa yangu mmoja za magazeti ya zamani na nikakutana na gazeti la DAILY NEWS la Disemba 4, 1990 likiwa na kichwa cha habari kisemacho "13 EXPELLED FROM...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi huyu mkuu wa wilaya anatumia mgambo huko wilayani missenyi mkoani kagera kukamata vijana na kuwalazimisha kujiunga mgambo na ukikataa unachapwa viboko. Masikini vijana hawajui...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila kukicha chama chetu kinabatizwa majina yenye sifa mbaya, lakini hatujisafishi, hivi kwa nini? Mfano, CCM23, WANG'OA KUCHA, MAGAMBA, MAFISADI, MABWEPANDE, WAZEE WA TAKRIMA, MAGAIDI, NK. Police...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Kamanda Bananga akiwahutubu wakazi wa Manyoni asema watanzania wa kawaida ni sawa na Kuku wa kiyenyeji mbele ya CCM. Kuku wa kienyeji thamani yao ni pale afikapo mgeni au anapofurahi mfugaji, na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Majira haya kamanda Henry Kilewo katibu wa kamanda maalumu ya Dar es salaam na mratibu wa kanda ya Pwani Chadema atakuwa ndani ya studio za EATV akijadili mambo ya msingi katika Taifa letu! Just...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika ziara yake jijin mwanza, waziri Samwel Sitta kaongea na wanachuo wa saut kuhusu mambo mbalimbali ya kitaifa. Binafsi, kanifurahisha kwa mambo yafuatayo; 1. Alisema serikali imezidisha...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Chama cha Demokirasia na Maendeleo (CHADEMA) leo kimeanza rasmi kutekeleza wajibu wake kwa kugawa Pikipiki za M4C kwanye kanda ya kaskazini, katika hafla hiyo iliyofanyika leo kwenye ofisi za...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
BAADHI ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tabora jana walipata wakati mgumu baada ya kuzomewa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara. Tukio hilo lilitokea kwenye mkutano wa...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
FREEMAN MBOWE AFUNGUKA KATIKA MKUTANO WA HADHARA HUKO SONGEA  Mhe. Freeman Mbowe, akisisitiza umuhimu wa wananchi wa mikoa ya Kusini, hasa mkoa wa Ruvuma ambao hauna Mbunge wa...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
Hii nimeitoa IPPMEDIA: A woman shows her house alleged to be burnt by Field Force police during the operation to calm the situation erupted after anti-gas transportation from Mtwara to Dar es...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Hadi sasa hakuna shaka juu ya UMAARUFU wa Mbunge wa Monduli Mh. Lowasa katika harakati zake mbalimbali za kisiasa na hata utendaji wake kazi ambao unakumbukwa kwa ushupavu wake wa kufanya maamuzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu sasa hii ni vita mpya ambayo waziri wa Afrika mashariki Samweli Sitta aliianzisha na anazidi kuichochea,tukiwa bado hatujasahau wakati spika huyu mstaafu akihitimiisha bajeti ya wizara yake...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
kwa tetesi nilizo zisikia nasikia kikwete amepeleka nguvu kubwa sana kumsaidia wassira aweze kuchaguliwa kuwa mgombea uraisi kupitia ccm huku akiungwa mkono na mwandosya, nchimbi na baadhi ya...
1 Reactions
73 Replies
6K Views
Mtwara. Mbunge wa Mtwara Mjini (CCM), Hasnain Murji ameikacha ziara ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipokuwa akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na vurugu zilizotokea mkoani hapa wiki iliyopita...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida sana kwa kizazi cha sasa kilichozaliwakati yqa mwaka 1990 na kuja huku mbele miaka ya 2000. Imekuwa ni kawaida sanakusikia mabezo mengi tu kwamba CCM ni chama kisichofaa...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
UTANGULIZI Sisi watanzania tunakiri kwa mamlaka ya mwenyezi muumba wa viumbe wote; tuna waheshimu tunawathamini na kuwakumbuka kwa ujasiri wao, Ndugu zetu ambao wamejitahidi kuleta uhuru haki na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakichangia bajeti ya wizara ya ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi,wabunge wemeonekana kutofautiana juu ya uhalali wa kuwauzia nyumba wapangaji wa NHC.Kuna wanaounga mkono uamuzi huo na wengine...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za kuaminika ni kwamba,ndugu john magale shibuda ni mkaazi wa NHC upanga kwa kipindi kirefu sana. Na mchango wake wa leo bungeni ulikuwa ukitazama 'maslahi' yake zaidi. Alitakiwa kudeclea...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Akihitimisha hotuba yake ya wizara ya nishati na madini huku akinukuu maneno ya mwalimu kuwa waliobahatika kupata elimu ni sawa na aliekula kibaba wakati wa njaa akatumwa na kijiji kwenda kuleta...
0 Reactions
95 Replies
6K Views
Back
Top Bottom