Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nanukuu 'Mtumishi wa umma aliye katika ajira ya kudumu hataruhusiwa kuingia katika ajira nyingine ya malipo ya mshahara'. Ibara hii inaweza kuwa nzuri sana kwa kuwa itajenga mazingira ya watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katika hii mika ya karibuni wezetu wa mrima wamebandikwa ukalululu wa makusudi wamini kuwepo kuna Tanzania Zanzibar lakini hakuna Tanzania Tanganyika ,Nchi mbili hizi kabla ya kuzaliwa Jamhuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Licha ya kusifikia kama kisiwa cha amani na utulivu, Tanzania ni Taifa la Majanga ya Kila Aina. Kwa miaka zaidi ya hamsini sasa, bado tunapambana na maadui wale wale wa maendeleo – Umaskini...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nakumbuka siku za karibuni , CHADEMA walipotangaza kususia mchakato mzima wa uundwaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano, huku wakimtaka mwakilishi wao kwenye tume ya katiba, Prof. MWEISIGA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni ukweli usiobishaniwa kuwa J.Kikwete ni baba wa katiba mpya hapa Tanzania. Kama kweli katiba mpya itapatikana. Kama kweli katiba mpya itapatikana kwa haki na amani. Kama kweli katiba mpya...
0 Reactions
73 Replies
5K Views
Watanzania na watanganyika wenzangu ni dhahiri suala la katiba mpya halikwepeki tena na kwa mjibu wa tume ya katiba 2014 tutakuwa na katiba mpya. Na lazima suala la serikali tatu litapita tu sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua kwani kwa muda mrefu nimesikia kuwa hawa jamaa wapo Arusha kwa ajili ya kuongeza nguvu ila sijapata kuona au kusikia mkutano wa chama cha mapinduzi ukifanyika si maanishi kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wamiliki wa "Jamii Forums" kwa jinsi walivyoona fursa ya kutuletea mtandao ambao tunautumia kuwasiliana, kubadilishana mawazo na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenyektii wa jukwaa la wahariri Absalom Kibanda amerejea nchini baada ya matibabu ya muda mrefu nchini Afrikakusini huku akiomba polisi kueleza ukweli wa yaliyotokea na kuchukua hatua kwa yeyote...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
Ni jedwali lenye idadi ya shule kwa kila mkoa na pesa iliyotengwa kukarabati shule za Serikali, Wabunge wengi wameikataa huku wengi wakishangaa mkoa Kilimanjaro kupewa mgao wa shule zaidi ya 120...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
mbunge mmja wakati anachangia wizara ya elimu amemuuliza waziri kuhusu kamati ya kutunuku ambayo iliwanyima vijana wa kiislamu kwa kuwapa lower grade lakini wale bible knowledge wakipewa higher...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Katiba Tanzania Bara yanukia Dar es Salaam. Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chakawe amesema upo uwezekazo wa Katiba Mpya ya Tanzania Bara ikapatikana kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2015...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
SURA YA NNE HAKI ZA BINADAMU, WAJIBU WA RAIA NA MAMLAKA ZA NCHI SEHEMU YA KWANZA HAKI ZA BINADAMU .... "(5) Ni marufuku kwa mtu, kikundi au taasisi ya dini kutumia uhuru wa kutangaza dini kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa amesema hatimaye amefanikiwa kukamilisha sheria itakayoshikisha adabu wanasiasa. Tendwa amesema sheria hiyo inasema mwanasiasa yeyote atakayekamatwa...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
UHASAMA wa kisiasa kati ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto, Sophia Simba na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango, umevuka mipaka na sasa ni uadui wa wazi wazi. Hali hiyo...
2 Reactions
64 Replies
8K Views
Kampeni za udiwani wa kata ya Mianzini, Mbagala wilayani Temeke zimeingia katika hatua nzuri huku vyama viwili vikionekana kupambana kikamilifu HATAHIVYO dalili zinaonyesha mgombea wa CCM mmiliki...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Tangu jana wabunge wa CCM kwa makusudi kabisa wameamua kulipotosha taifa na kuligawa makusudi na kuchochea chuki baina ya watanzania kwa mrengo wa ukabila kwa kusema kuwa Mkoa wa Kilimanjaro...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukisoma hii article 151 (1) "Jaji Mkuu atateuliwa na Rais kutoka miongoni mwamajina ya watu watatu yaliyopendekezwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama na kabla ya kuapishwa jina lake litawasilishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa rasimu ya katiba mpya Serikali ya Tanganyika itaongozwa na Gavana je wadau endapo haitabadilika mnaonaje kama Dr akagombea ugavana?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watanzania tuisome rasimu hii ili tupate katiba safi itakayoleta mwanga mpya wa taifa letu. Wajumbe wa mabaraza ya katiba pia mtutendee haki. Wana jf kazi kwetu.​
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…