2015 uchaguzi mkuu wa tanzania nashauri iundwe serikali ya mpito ya tanganyika

  • Thread starter Geofrey Andrew Sanga
  • Start date

G

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Messages
251
Likes
3
Points
35
G

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2013
251 3 35
Watanzania na watanganyika wenzangu ni dhahiri suala la katiba mpya halikwepeki tena na kwa mjibu wa tume ya katiba 2014 tutakuwa na katiba mpya. Na lazima suala la serikali tatu litapita tu sasa mashaka ni kuwa tanganyika hatuna katiba sasa nashauri 2015 iundwe serikali ya mpito ya tanganyika wakati tukiandaa katiba mpya ya tanganyika au tanzania bara mnasemaje wadau kwa kuwa rasmu ya katiba haizungumzii muundo wa serikali ya tanganyika
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Lakini kweli. Hivi hii itajadiliwa lini? Hii rasimu is lacking a lot of important issues. Huu muda ulioko unatosha kujadili mambo.yote hayo? Mbona kama ninakumbuka ile ya Kenya ilichukua muda mrefu sana?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Forum statistics

Threads 1,274,979
Members 490,865
Posts 30,529,417