M Masai man Member Apr 9, 2013 10 1 Jun 8, 2013 #1 Hali ni tete mkoa wote wa mwanza hadi sasa hawajajua hatima ya mishahara yao ya mwezi May wanaishi kwa madeni hatari sna
Hali ni tete mkoa wote wa mwanza hadi sasa hawajajua hatima ya mishahara yao ya mwezi May wanaishi kwa madeni hatari sna
habariyamujini JF-Expert Member May 16, 2013 3,094 456 Jun 8, 2013 #2 Wewe ni afisa utumishi au msemaji wao au ni vuvuzela tu
habariyamujini JF-Expert Member May 16, 2013 3,094 456 Jun 8, 2013 #3 Masai man said: Hali ni tete mkoa wote wa mwanza hadi sasa hawajajua hatima ya mishahara yao ya mwezi May wanaishi kwa madeni hatari sna Click to expand... wewe umekopa shilingi ngapi hadi sasa...
Masai man said: Hali ni tete mkoa wote wa mwanza hadi sasa hawajajua hatima ya mishahara yao ya mwezi May wanaishi kwa madeni hatari sna Click to expand... wewe umekopa shilingi ngapi hadi sasa...
habariyamujini JF-Expert Member May 16, 2013 3,094 456 Jun 8, 2013 #4 Hii ndio tabia isiyokubalika..ukipokea mshahara unaula wote kwa siku moja, ona sasa aibu unazopata...huku jf hatulipi mishahara..pole sana.vumilia
Hii ndio tabia isiyokubalika..ukipokea mshahara unaula wote kwa siku moja, ona sasa aibu unazopata...huku jf hatulipi mishahara..pole sana.vumilia