Nani anafaa kutuongoza mwaka 2015?

Nani anafaa kutuongoza mwaka 2015?

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
241
Ninadhani sasa ni wakati muafaka kuanza kufikiria na hata kumshawishi mtu tunayedhani anaweza na anafaa kuwa kiongozi (Rais) wetu baada ya Jakaya. Wengi wanatajwa na wengine wamekaa kimya wakisubiri kipenga kipulizwe ili waanze mchakamchaka.Tuna wajibu wa kumshawishi yeyote tunayedhani kuwa atatufaa kuwa Rais wa Tanzania baada ya Kikwete. Tujadili kisomi bila kujali itikadi zetu za kisiasa, dini au eneo analotoka, nani anatufaa 2015? Kwa nini unadhani anatufaa? Si vibaya tukajadili uimara na udhaifu wa mtu ambaye tunadhani anaweza kuliongoza taifa letu? Hii itatumuwezesha huyo mtarajiwa, kama hajui kuwa watu wanamuhitaji basi atakuwa ametambua. na pia itawawawezesha wale wote wanaodhani labda wanafaa kujijua namna gani umma unawahitaji/hauwahitaji!!

Nawasilisha: mjadala huu uwe wa wazi. Kejeli za uchama tuziweke kando kwa muda kidogo
 
Watanzania wakikosea tena 2015 wajilaumu wenyewe!!! Kwa kifupi ni kwamba hakuna msafi ndani ya chama tawala. Wanachokifanya CCM ni kuendelea kulindana tu na kukumbatia ufisadi kwa kufumbia macho utawala wa sheria!! Tanzania inahitaji utawala mpya kutoka CDM, full stop!!!
 
Mie nafaa, Mchamungu,mwadilifu, sina mtandao, sihitaji pesa za Epa kujinadi, sipori mke wa mtu ili akaimu u first lady, situmii makanisa wala misikiti kwa Kampen, sitoi ahadi za Uongo za kuigeuza Kigoma Dubai au kufuta Nyumba za Nyasi zote Tz ndan ya miaka 5, sitotumia familia kwenye kampen, pamoja na yote mazuri nasubiri kuoteshwa!
 
Jamani mie naona Slaa anafaa kutuongoza kwasababu zifuatazo.
1. Anapenda wake za watu mpaka Mke wake wa Zamani Rose Kamili kaona wivu na kuweka Pingamizi Mahakamani.
2. Mkono wake wa kushoto hauponi kwasababu ulivunjika kwa kupenda ukahaba, akampa mimba anaemuita mchumba wangu hata kabla ya ndoa, na sijui kama walifunga ndoa mpaka leo.
3.Anapenda kutumia mbinu za udini, huku dini ilimshinda na kufukuzwa upadiri kwa kuiba pesa za vipofu.
4.Anapenda kutoa ahadi za uongo mfano bati moja sh.elf 5 bila kutoa njia ya kufika hapo
5. Ni mburura bila kujali wajinga wengi wanamkubali hivyohivyo utadhani wamelogwa.
6. Ni kiongozi wa Freemason.
Huyo anafaa.
 
Vipi ulimtaka Dr Slaa kimapenzi akakukataa nini? ...Wivu wa kike!!!!!
 
Jamani mie naona Slaa anafaa kutuongoza kwasababu zifuatazo.
1. Anapenda wake za watu mpaka Mke wake wa Zamani Rose Kamili kaona wivu na kuweka Pingamizi Mahakamani.
2. Mkono wake wa kushoto hauponi kwasababu ulivunjika kwa kupenda ukahaba, akampa mimba anaemuita mchumba wangu hata kabla ya ndoa, na sijui kama walifunga ndoa mpaka leo.
3.Anapenda kutumia mbinu za udini, huku dini ilimshinda na kufukuzwa upadiri kwa kuiba pesa za vipofu.
4.Anapenda kutoa ahadi za uongo mfano bati moja sh.elf 5 bila kutoa njia ya kufika hapo
5. Ni mburura bila kujali wajinga wengi wanamkubali hivyohivyo utadhani wamelogwa.
6. Ni kiongozi wa Freemason.
Huyo anafaa.

Mods matusi kama haya mnaruhusu?Tafadhali ondoeni michango iliyo matusi na kashfa kwa sababu ya chuki binafsi,HATA HIVYO RATIONARY DR W.P.SLAA NI DESERVES TO BECOME THE 5TH PRESIDENT O THE URT.
 
Kwakuwa yeye ana mkataba na MUNGU hata kesho yake anaijua, na kwa kuwa Demokrasia hakuna ndani ya chama chenu na munamuabudu kama mulungu wenu.
Kama hayo ni Matusi basi yale wanayotukanwa JK,WASIRA,MULUGO,KINANA ni MAFUTA.
 
Dr. SLAA ATOSHA, SI FISADI, HANA KAMPUNI YA KUUZA PEMBE ZA NDOVU, HANA RICHMOND, MEREMETA,N.K
HATARAJII KUWA VASCO DA GAMA, SI NYANI WA GOMBE, endeleaaa men
 
Me nampenda Dr. Silaa, Nimewashawishi wanakikundi wenzangu kwamba 2015 hakuna kupiga kura ccm wala cuf. Tuwapigie chama cha CHADEMA.
 
Lowasa ni mpango mzima,ili lipo wazi kwa watu wenye fikra pevu
 
Mtasema sana lakini EL wakubwa atimue wazembe hasa sekta ya elimu.
 
T 2016 Bernard Camillius Membe..
I will vote for magamba only if membe ill a candidate
 
Lowassa achukue nchi hatutaki viongozi dhaifu tena kama membe au kikwete
 
Jamani mie naona Slaa anafaa kutuongoza kwasababu zifuatazo.
1. Anapenda wake za watu mpaka Mke wake wa Zamani Rose Kamili kaona wivu na kuweka Pingamizi Mahakamani.
2. Mkono wake wa kushoto hauponi kwasababu ulivunjika kwa kupenda ukahaba, akampa mimba anaemuita mchumba wangu hata kabla ya ndoa, na sijui kama walifunga ndoa mpaka leo.
3.Anapenda kutumia mbinu za udini, huku dini ilimshinda na kufukuzwa upadiri kwa kuiba pesa za vipofu.
4.Anapenda kutoa ahadi za uongo mfano bati moja sh.elf 5 bila kutoa njia ya kufika hapo
5. Ni mburura bila kujali wajinga wengi wanamkubali hivyohivyo utadhani wamelogwa.
6. Ni kiongozi wa Freemason.
Huyo anafaa.
Mbona hayo yote umetaja sifa za magamba zilizotumika 2010? Ni nani aliyesema atakayempinga katika kugombea atakufa? au umesahau?
 
Back
Top Bottom