Pilitoni JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 1,214 Reaction score 528 Jun 8, 2013 #1 Bajeti ya elimu imepitishwa,sijaona makeke ya mr zero bungeni licha ya kuweweseka sana kabla ya bunge au ni aibu
Bajeti ya elimu imepitishwa,sijaona makeke ya mr zero bungeni licha ya kuweweseka sana kabla ya bunge au ni aibu
H HAMY-D JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 7,146 Reaction score 3,830 Jun 8, 2013 #2 Nimeweka CV ya Mbowe hapa Mods wameiondoa, huyo Mbowe kwenye elimu hana cha kuchangia.
sungura1980 JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 1,909 Reaction score 1,225 Jun 8, 2013 #3 HAMY-D said: Nimeweka CV ya Mbowe hapa Mods wameiondoa, huyo Mbowe kwenye elimu hana cha kuchangia. Click to expand... Weka na ya Prof Maji marefu,Juma Nkamia,Mwigulu,Komba maana nao pia hawakuchangia!Husisahau kuweka na bibie Vick Kamata!
HAMY-D said: Nimeweka CV ya Mbowe hapa Mods wameiondoa, huyo Mbowe kwenye elimu hana cha kuchangia. Click to expand... Weka na ya Prof Maji marefu,Juma Nkamia,Mwigulu,Komba maana nao pia hawakuchangia!Husisahau kuweka na bibie Vick Kamata!