Picha: Mwigulu Nchemba awasha moto kata ya Kaloleni Jijini Arusha Kampeni za UDIWANI

  • Thread starter Mtela Mwampamba
  • Start date

M

Mtela Mwampamba

Verified Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
537
Likes
11
Points
35
Age
36
M

Mtela Mwampamba

Verified Member
Joined Dec 19, 2012
537 11 35
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara akiwasili viwanja vya kata ya kaloleni-stendi jioni ya leo kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya kaloleni Jijini Arusha[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu Mkuu wa CCM Mh.Mwigulu Nchemba akilakiwa na Bibi mwanachama wa CCM eneo la mkutano kaloleni jijini Arusha[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu mkuu wa CCM Mh.mwigulu Nchemba akilakiwa na mgombea UDiwani wa kata ya kaloleni kwa tiketi ya CCM Ndugu Emmanuel Thomas[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu mkuu wa CCM Mh.Mwigulu Nchemba akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye mkutano wa hadhara kwaajili ya kampeni za uchaguzi wa Udiwani kata ya kaloleni jijini Arusha[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]CCM inalea na kukuza watoto kwaajili ya taifa lenye Heshima na ustaarabu siku za Usoni.Hawa na Vijana wa CCM wakisoma ngonjera mbele ya naibu katibu mkuu wa CCM Mh.Mwigulu Nchemba[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kushoto ni aliyekuwa diwani wa CHADEMA Ndugu Rehema sasa ni kada mtiifu wa CCM.Kulia ni Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM ndugu Emmanuel Thomas[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Aliyekuwa diwani wa CHADEMA Ndugu Rehema akisalimia wananchi na kuwaomba waachane na CHADEMA ili wapate maendeleo kuanzia ngazi ya kata hadi wilaya na Kitaifa.Amesisitiza CHADEMA ni chama cha watu wachache na chenye mlengo wa maslahi binafsi.Amewaomba wanaarusha kuchana na adha ya kuamrishwa kila kitu na Mbunge wao wa maandamano Ndugu Godbless Lema.Amesema yeye ameshakaa chadema na anajua uchafu wote unaofanyika kuanzia kwa Mwenyekiti wa chama,katibu mkuu wa chama na hata ngazi za chini.Hivyo amewaomba wanaarusha kumchagua diwani wa CCM kwa maendeleo ya kata ya kaloleni[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kada wa CCM Bi.Juliana Shonza akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi kata ya Kaloleni.Bi.Juliana shonza amewaomba wakaloleni na Wanaarusha kuacha kutumika,Kuacha kuwa wafusai wa mtu,Kuacha kuliangamiza jiji la arusha kiuchumi kwa kuendelea kuikumbatia CHADEMA.Amesisitiza yeye alikuwa chadema na alikuwa kiongozi wa juu ndani ya chama ameona namna chama kinavyoendeshwa kwa maslahi ya watu wachache.Hivyo chaguo sahihi kwa wanakaloleni na wanaarusha ni kuipa nafasi CCM kwenye uchaguzi huu wa Udiwani[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Bi.Juliana shonza akisisitiza kwamba hakuna chama kama CCM,CCM ni chama chenye mlengo wa kitaifa kimaendeleo.CCM ni chama tawala na kinamaslahi jamii[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Kada wa CCM na aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la mbozi Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA kabla hajachukua uamuzi wa kujiunga na CCM Ndugu Mtela Allam mwampamba akihutubia wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya kaloleni jijini Arusha.Mtela Mwampamba amewaomba wanaarusha kumpatia elimu mbunge wao kuhusu mahusiano kati ya maendeleo na serikali iliyopo madarakani.Amesema Mbunge w Arusha mjii Godbless Lema hajui maana ya maendeleo na serikali,anafanyakazi kubwa ya kutenganisha maendeleo ya Arusha na serikali.Amesisitiza Lema si mwanasiasa bali ni binadamu aliyezoea maisha ya kihuni ndio maana siku zote anatafuta wahuni wenzake ilikuivuruga Arusha.Ameomba wanakaloleni kumpigia kura Diwani mtarajiwa wa CCM Ndugu Emmanuel Thomas[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hapa kada wa CCM mtela Mwampamba akiwahoji wanakaloleni kwamba yeye amekuwa chadema tena mgombea ubunge mwaka 2010 na kupata kura 32000 jimboni kwake Mbozi,lakini kwa kuchunguza mwenendo wa CHADEMA na kutambua ni chama cha watu wachache wenye maslahi yao akaamua kujiunga na CCM chama chenye mlengo wa kitaifa.Je wanakaloleni mimi mwampamba ninakura 32000 lakini nimeachana na chama cha maandamano,je wewe kijana unayenyweshwa viroba siku za maandamano na hata huyo Mbowe hakujui unanufaika na nini na CHADEMA?[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mtela Mwamapmba akihutubia mamia ya wananchi na wakazi wa kaloleni jioni ya leo tar.8/06/2013.Amewaomba wanakaloleni kumpa kura mgombea wa CCM kwa sababu chadema wanafukuza madiwani bila sababu na kulitia hasara taifa.Pia CHADEMA hawanachakutekeleza zaidi ya kuandaaa maandamano na vurugu ndani ya jiji la Arusha.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Huyu kijana alikuwa kamanda wa CHADEMA,amesema aliachana na CHADEMA baad aya kugundua kuwa anapoteza muda wake kuhangaikia watu binafsi na sio maslahi jamii.hapa alikuwa anaonesha barua na hati mbalimbali anazofanyia utapeli Mbunge wa Arusha mjini Ndugu GodBless Lema.Ameeleza namna Lema alivyoweka ARUSHA DEVELOPMENT FOUNDATION mali ya familia yake,Mke wa Godbless lema ndiye Mkurugenzi wa mfuko huo.Hivyo amewasihi vijana wenzake kuachana na CHADEMA,Wafanye chaguo sahihi kwa kumpa kura mgombea wa CCM[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Munge Devotha Likokola akihutubia mamia ya wananchi wa kaloleni waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za Uchaguzi jijini Arusha kata ya kaloleni.Amesema wanakaloleni wasipoteze muda wao kwa kukipa nafasi chama chochote cha upinzani.Amesisitiza atasaidiana na akiana mama wa kata ya kaloleni keendeleza mifuko ya VICOBA ambayo ipo chini ya serikali ya CCM[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Mbunge Devotha Likokola akimnadi mgombea wa udiwani kata ya kaloleni Ndugu Emmanuel Thomas kwa tiketi ya CCM.Amesisitiza hakuna mtanzania asiyependa kufika ama kuishi Arusha,Lakini kwa huu upuuzi wa CHADEMA wa kuvuruga jijini ni ishara tosha kwamba hawafai hatakupewa nchi.Hivyo wanakaloleni wampe kura diwani wa CCM.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Mwigulu Nchemba,Naibu katibu Mkuu wa CCM amehutubia mamia ya wananchi wakata ya kaloleni jijini Arusha jioni ya leo tar.8/6/2013 kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani.Mh.Mwigulu Nchemba ameanza kw akusema uchaguzi unaofanyika sasa kata ya kaloleni ni matunda ya chama mufilisi cha chadema kutotambua haki ya wananchi wanaopiga kura.Amesema CHADEMA walifukuza diwani hapa,je kunahaja ya kuwapa diwani tena?AU walipowafukuza walikuja kuomba ridhaa ya wananchi wa kaloleni?.Huu ubabe kwenye vyama vya siasa ni wakupinga vikali na njia pekee ni kupiga kura za kutosha kwa mgombea wa CCM.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu Mkuu wa CCM akisisitiza jambo kwa wananchi.Amesisitiza sana kuhusu amani wakati wa uchaguzi na wakati wote wa maisha ya kila siku.Amesema ni ajabu kwa Wana kaloleni na wanaarusha kukipigia kura chama kinachoshabikia maauaji,CHADEMA wanashabikia mauaji,Chadema wanatumia misiba kuhadaa wananchi na kutafuta sifa za kijinga.Pia amewaomba wananchi kulaani vikali tabia ya Mbunge wa Arusha mjini kutumia viroba kama fadhila kwa wananchi waliompigia kura.Amesema thamani ya vijana wa Arusha sio viroba,Thamani ya vijana wa arusha ni maendeleo na kudumisha amani.[/TD]
[TD="class: tr-caption, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hapa Naibu katibu mkuua alikuwa anauliza,Je CHADEMA wamejenga angalau choo cha jumuia hapa kaloleni?Pia akauliza ni kwanini CHADEMA hawafanyi maandamano wilaya ya Hai na karatu?Akahoji zaidi kwa kusema je kunamzazi anafurahia mtoto wake amwagiwe tindikali.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu Mkuu wa CCM Mh.Mwigulu Nchemba akimnadi mgombea udiwani kata ya kaloleni kwa tiketi ya CCM Ndugu Emmanuel Thomas[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hapa naibu katibu Mkuu wa CCM akimpongeza mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM kwa kuamua kujitolea kuwasaidia wanakaloleni na Wanaarusha kwa kupitia CCM chama cha watanzania wote[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mgombea udiwani kata ya kaloleni Ndugu Emmanuel Thomas akiomba kura kwa wannachi na kuwaahidi kuendelea kutekeleza ilani ya CCM na kuwaletea maendeleo wanakata ya kaloleni na jiji la Arusha 
Simba Mangu

Simba Mangu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
351
Likes
17
Points
35
Simba Mangu

Simba Mangu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2010
351 17 35
Kumbuka ulipo toka hujavuka mamba na Arusha sio wajinga
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,614
Likes
6,129
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,614 6,129 280
Mbona kazomewa sana?au wewe hukuwepo huku mkutanoni
 
Simba Mangu

Simba Mangu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
351
Likes
17
Points
35
Simba Mangu

Simba Mangu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2010
351 17 35
Kumbuka ulipo toka usitukane mamba kabla hujavuka mto uliza wenzio Arusha sio mabwege tusubiri
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,583
Likes
3,993
Points
280
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,583 3,993 280
Mbona sura ya huzuni hivi!!?

 
H

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Messages
6,946
Likes
818
Points
280
H

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2011
6,946 818 280
Haya sasa ushahidi umeletwa tena wa picha, ni wapi Mwigulu alipo zomewa?

Mtahaha sana mwaka huu, mpaka ifike 2015 kazi kwisha.

Viva CCM Viva Mwigulu.
 
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
2,364
Likes
21
Points
135
masanjasb

masanjasb

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
2,364 21 135
mbona picha zimepigwa upande upande? tupieni na picha ya kutoka nyuma kuelekea jukwaani
 
M

Mboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
1,073
Likes
10
Points
135
M

Mboko

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
1,073 10 135
Mbona mamia usemayo hayaonekani sana sana tunawaona hawa Mafisadi wenzako Rehema kafukuzwa kama wewe na Juliana mlivyofukuzwa kwa kupenda maslahi sasa ukiwa unaandika sema sie tuliofukuzwa Chadema na sio mlihamia kwa Mafisadi wenzenu kwa kuona ni kuzuri shidaaaaaaa,njaaaaaa zitawauwa wengi na bado tutaona mengi sana.
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,113
Likes
17,677
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,113 17,677 280
mbona zile za kutolewa nduki sizioni mkuu? hebu weka na zenyewe ni picha pia
 
Exaud Mamuya

Exaud Mamuya

Verified Member
Joined
Jul 26, 2011
Messages
403
Likes
2
Points
35
Exaud Mamuya

Exaud Mamuya

Verified Member
Joined Jul 26, 2011
403 2 35
Mtela acha kuwadanganya watu. Nilipita kwenye huo mkutano na hapakuwa na watu zaidi ya mia moja na tena wote wamevaa sare za ccm kama vile wako kwenye kikao cha chama.

Na watu hawa wameazimwa kutoka kata za jirani na baada ya mkutano Mwigulu na msafara wake wamepita barabara ya Mianzini na wamezomewa barabara nzima.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
M

mgoli magombe

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
121
Likes
6
Points
35
Age
34
M

mgoli magombe

Senior Member
Joined Apr 20, 2013
121 6 35
Daaaaaaaaaaaa kweli vijana wa Lumumba mnasikitisha, Mwigulu leo kazomewa balaaaa, watu wamemwambia arusha hamna ccm na wanamshangaa yeye kwenda kule.
 
Msalagambwe

Msalagambwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Messages
716
Likes
66
Points
45
Msalagambwe

Msalagambwe

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2012
716 66 45
Hiyo kofia ya Mtumba kapewa China

Wenzie walivaa enzi za Mao na Falsafa ya Juche.

Mwigulu kaona ni ujanja anaivaa leo karne ya 21.

He is so 1944 :)
 
CHAMVIGA

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
7,693
Likes
30
Points
145
CHAMVIGA

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
7,693 30 145
Inapendeza nyomi ipo ya kutosha bila shaka wana Arusha wameamua kwa dhati kuachana na ubabaishaji wa chadema na kuendeleza imani yao dhidi ya Ccm chama dume.
 
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
4,443
Likes
357
Points
180
Age
33
Radhia Sweety

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
4,443 357 180
Kumbe CCM wanakubalika hivi?
 
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
4,214
Likes
1
Points
0
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
4,214 1 0
Inapendeza nyomi ipo ya kutosha bila shaka wana Arusha wameamua kwa dhati kuachana na ubabaishaji wa chadema na kuendeleza imani yao dhidi ya Ccm chama dume.
hauijui arusha wewe, subiri utaona muvi!
 
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
4,214
Likes
1
Points
0
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
4,214 1 0
Mwigulu anafahamu yaliyomkuta arumeru, arusha sio iramba! Mwigulu atatoka arusha bila kuaga! Time will tell us!
 
Albedo

Albedo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Messages
5,562
Likes
30
Points
135
Albedo

Albedo

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2008
5,562 30 135
Kama huku nako ni kuwasha Moto basi CCM wana hali Mbaya. BTW yule jamaa aliyemwagiwa tindikali leo alikuwepo na yeye?
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
90
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 90 145
Haya sasa ushahidi umeletwa tena wa picha, ni wapi Mwigulu alipo zomewa?

Mtahaha sana mwaka huu, mpaka ifike 2015 kazi kwisha.

Viva CCM Viva Mwigulu.


Hicho ni kitu RAHISI SANA; Kama BOMU LILIPIGWA kanisani ARUSHA na WATU KUFARIKI hadi LEO hakuna aliyeshikwa na UGAIDI HUO... Sembuse Kuzomewa? ni rahisi kugushi hilo na ni kazi ya Mtoto ndani ya UVCCM

Just think; Wote waliochoma MAKANISA na kuua MAPADRI hakuna aliyepelekwa MAHAKAMANI na Unawasiwasi na kuzomewa???
 

Forum statistics

Threads 1,274,113
Members 490,593
Posts 30,501,389