Sikilizo la Wazanzibari na neno Tanzania

kontakinte

Member
Jun 5, 2013
53
8
Ni masikio yangu yaliosikia na kwa kua ni muelewa nimeelewa hivi
Wakisema kwa kua waliowengi watanganyika hawalitaki jina la Tanganyika na badala yake ni Tanzania bara mara Tanzania.
Basi WaZanzibari wako tayari kuwachia watanganyika jina la Tanzania ili tu kuwasaidia kutokuwanza tena kuitambulisha nchi Yao kwa jina jipya
Mmoja kati yao akiuliza inakuaje msomi nyerere kuwapotezea jina watanganyika
Isingekua nchi isiyolipenda jina lake?
 
Weeeeee acha uongo,,,,,tanzania jina lenyewe lina sintofahamu nyingi,,
am proud to be a tanganyika whenever at whatever cost
 
Tanzania ni muungano wa pemba na zimbwabwe, hivyo sisi ni wa Tanganyika kwa hiyo pemba na zimbabwe watajuana nani atumie jina Tanzania
 
Alie kwambia tanganyika wahalitaki jina lao nani?wengi wanalitaka moyoni lakini wanaogopa kivuli cha nyerere.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom