CCM wamechakachuliwa, hutaki unaacha!


T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
2,430
Likes
225
Points
160
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2012
2,430 225 160
Hii dhambi inawahusu wanabadiliko!

CCM wamechakuliwa maoni yao kwenye rasimu ya katiba mpya, hawakuamini kabisa kilichotokea kwenye hii rasimu, bila shaka wanahisi wamechakachuliwa maoni yao maana mapendekezo ya wapinzani karibu yote ila sio yote yamekuwepo kwenye rasimu, ila mapendekezo ya CCM karibu yote kwa ujumla yametupwa kama ndomco iliyotumika!

Habari ndio hio hutaki jikatae!
 
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2011
Messages
2,476
Likes
472
Points
180
Age
29
Komeo

Komeo

JF-Expert Member
Joined May 3, 2011
2,476 472 180
Hivyo tena! Ngoja waje wenyewe uwaskie.
 
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
2,430
Likes
225
Points
160
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2012
2,430 225 160
Hivyo tena! Ngoja waje wenyewe uwaskie.
hawawezi kuja maana huo ndio ukweli labda wajitoe ufahamu km walivyozoea!
 
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
4,214
Likes
1
Points
0
U

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
4,214 1 0
Mbona madaraka ya rais yamekumbatiwa bado? Mbona ni mawazo kiccm ccm?
 
Bramo

Bramo

JF Bronze Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
10,164
Likes
3,395
Points
280
Bramo

Bramo

JF Bronze Member
Joined Oct 21, 2009
10,164 3,395 280
Rasimu ni Mawazo wa Wananchi na sio CCM.
Vyma vy a Upinzani husani CHADEMA wanajua nini Wananchi wanataka, Hili ni Tatizo kubwa sana kwa CCM.
So Kama Rasimu ya Katiba imejaa Mapendekezo Mengi ya Wapinzani Basi Wapinzani na wananchi Dam Dam
Ma CCM yanafikiria kuwa ndo yana Hati Miliki ya Wananchi.
Kama Vp Hayo Maoni yenu yawekeni kwenye Katiba yenu
Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,416
Likes
1,715
Points
280
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,416 1,715 280
Bado ya rais!
 
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
21,515
Likes
18,097
Points
280
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
21,515 18,097 280
Hivi rais hawezi kupangiwa safari kikatiba.
Maana jk kazi yake ni kutalii maghorofa Singapore na kuwakaimisha uraisi akina Kigwangala.

Ningependa safari za raisi ziidhinishwe kwenye katiba.!
 
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
2,524
Likes
6
Points
135
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
2,524 6 135
Mtoa katiwe huko, wapi evidence ya hcho kilichokataliwe.
 

Forum statistics

Threads 1,272,349
Members 489,924
Posts 30,448,232