Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 409
1.Kila mtu atoe madhaifu ya mbunge wake katika jimbo husika hususani wa CCM.
2.Atoe mapendekezo ya kwamba nini kifanyike kumuondoa mbunge huyo
3. Nakiomba CHAMA MAKINI CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kifanyie kazi madhaifu hayo ili tuje kuibuka washindi.Maoni yangu...nyongeza ruksa,kupinga ruksa,kuboresha ruksa na kuchangia ruksa.