Ushaur wa bure kwa cdm

Kateka Sanza

Member
Jun 8, 2013
44
8
Cdm ndo chama pekee kwa sasa kinachoweza kuwapa watanzania tumain jipya la maisha! Lakin wanajamii kitu cha kushangaza chama hik kilichopata mvuto kwa ghafla ni ombwe la uongoz ndan ya chama Wako vijana ambao hawana maadil ndo wanapewa uongoz watu wanaovuruga chama! Ushaur wangu viongoz na wanachama jaribun kutulia na kuchagua viongoz makin watakaojenga chama kama kwel mnayo dhamira ya kwel kuchukua nchi 2015. Nawasilisha!
 
Sasa unataka kusema nini? Iwapo umaarufu huo umepatikana kwa kupitia hao vijana, ukiwandowa na huo umaarufu utakwenda nao.
Wacha tushindanishe wenye busara na wale wasio na maadili hapo 2015.
 
Cdm ndo chama pekee kwa sasa kinachoweza kuwapa watanzania tumain jipya la maisha! Lakin wanajamii kitu cha kushangaza chama hik kilichopata mvuto kwa ghafla ni ombwe la uongoz ndan ya chama Wako vijana ambao hawana maadil ndo wanapewa uongoz watu wanaovuruga chama! Ushaur wangu viongoz na wanachama jaribun kutulia na kuchagua viongoz makin watakaojenga chama kama kwel mnayo dhamira ya kwel kuchukua nchi 2015. Nawasilisha!

Fuatilia kisa cha Diwani Fungameza ambaye hakutegemea kuchaguliwa lakini ndio Diwani. Fungameza: Sikudhamiria kuwa diwani - Siasa - mwananchi.co.tz

Watu wakishachoka hata kichaa watamchagua.
 
Hadi kesho Chadema kitaendelea kutoa matumaini makubwa kwa Watanzania. Kinachohitajika ni watanzania kukiunga mkono ili matumaini yaweze kufikiwa. CCM wala hatuhiji kulizungumzuia, maana sio tu wameishiwa, bali wapo chini ya kiwango cha kuishiwa, hadi wanaomba kura kwa stile ya kuhurumiwa- ona Arusha wanamtembeza aliyemwagiwa tindikali. Hivi kweli Mwingulu mhitimu wa Chuo kikuu amefikia hatua hiyo? Ya kudhalilisha mtu? Mungu amsamehe bure.
Cuf tusiizungumzie huku bara, labda tu iwe chama kikuu huko zenj.. maana kwa sera za kuokoa jahazi hatutafika mahali... sio tumaini la lolote, bali ni maafa, ni kikwazo, ni Chama hatari kulivyo vyote...
NCCR- ilikuwa mahututi, kama vile hakiwepo tena, ila sasa imevamiwa na waliofukuzwa Chadema, kuna hatari ya hawa kuwa na mpango wa kukidhoofisha Chadema, badala ya kuwa na mpango wa kuleta maendeleo ya Mtanzania. Agenda muhimu ikishakosewa, hakuna matumaini tena.
Taja mengine, matumaini ya pekee yanabaki kwa Chadema tu. Muhimu tuiunge mkono ili tuweze kufikia lengo.
Mungu ibariki Chadema. Mungu ibariki Tanzania.
 
Cdm ndo chama pekee kwa sasa kinachoweza kuwapa watanzania tumain jipya la maisha! Lakin wanajamii kitu cha kushangaza chama hik kilichopata mvuto kwa ghafla ni ombwe la uongoz ndan ya chama Wako vijana ambao hawana maadil ndo wanapewa uongoz watu wanaovuruga chama! Ushaur wangu viongoz na wanachama jaribun kutulia na kuchagua viongoz makin watakaojenga chama kama kwel mnayo dhamira ya kwel kuchukua nchi 2015. Nawasilisha!
ushauri mzuri!!
vijana wapi mkuu,wataje basi!
Labda elewa hivi vijana wako fresh from schools/ university na hawana chembe ya ufisadi,hao wanovurugu ni wachumia matumbo.
 
Cdm ndo chama pekee kwa sasa kinachoweza kuwapa watanzania tumain jipya la maisha! Lakin wanajamii kitu cha kushangaza chama hik kilichopata mvuto kwa ghafla ni ombwe la uongoz ndan ya chama Wako vijana ambao hawana maadil ndo wanapewa uongoz watu wanaovuruga chama! Ushaur wangu viongoz na wanachama jaribun kutulia na kuchagua viongoz makin watakaojenga chama kama kwel mnayo dhamira ya kwel kuchukua nchi 2015. Nawasilisha!

hiki ni kizazi kingine mkuu, ni kizazi cha vijana! vijana ndio wafuasi wengi wa cdm sasa unataka kiongozi atokee wapi? km sio humo humo kwenye kundi la vijana!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom