Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 409
Kama Great Thinker,kwa upande wangu mimi binafsi,naona kutumia nguvu nyingi kuishauri, kuionya CCM ni kupoteza carolies tu.
Kwa kuwa ccm ni vichwa ngumu hawaelewi,wanafiki,akili ndogo, wana fikra mgando na hawaendi na mabadiliko hata ushauri vp utachoka tu. Watu gani hawa hata chembe ya kubadilika hawana?