Hata CCM wakifanya jema kiasi gani hawakubaliki tena - nionavyo!


UNDENIABLE

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
2,305
Likes
459
Points
180
UNDENIABLE

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
2,305 459 180
Huo ndio ukweli wakuu!

ccm sasa ni wapishe njia tu hawaaminiki tena hata wakifanya jema kiasi gani hiki kizazi kipya cha miaka ya 80 na 90 hawawezi kukiamini kabisa!

hata cdm wakizingua lazima kitokee chama kingine cha upinzani dhidi ya ccm na hiki kizazi kitafungana nacho!

nashauri ccm ifutwe waanzishe chama kingine halafu waje kivingine hapo kitabamba pasipo shaka!

nawasilisha!
 

Forum statistics

Threads 1,275,076
Members 490,894
Posts 30,532,146