Picha: Hii nembo kwenye paji la uso la Mwigulu ina maana gani?

Tuko

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,192
Points
1,500
Tuko

Tuko

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2010
11,192 1,500
Tangu Mwigulu arudi kutoka "China" amekuwa akivaa kofia yenye nembo ya nyota, ambayo anapoivaa nembo hiyo huwekwa kwenye paji la uso
mwigulu illuminati 1.pngLakini kama tujuavyo, Mwigulu hana cheo chochote jeshini au mahali pengine kinachotambulishwa kwa kuvaa nembo ya namna hiyo. Hiyo nembo (na hata rangi yake), sio alama za chama chake.

Inasemwa kuwa nyota ni mojawapo wa alama za Illuminati (Freemansons), ambazo members wake hulazimika kuzivaa mwilini. Unaweza kujifunza zaidi juu ya alama za illuminati katika sites mbalimbali kwenye internet na kwingineko.

mwigulu illuminati 2.png

Mwigulu ameonekana akivaa nembo hiyo mara kadhaa anapojitokeza na kuhutubia mbele za watu!!!

Mwigulu atueleze, je nembo hii ina maana gani? Au ndio anatafuta wafuasi?
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
Tangu Mwigulu arudi kutoka "China" amekuwa akivaa kofia yenye nembo ya nyota, ambayo anapoivaa nembo hiyo huwekwa kwenye paji la uso
View attachment 96867Lakini kama tujuavyo, Mwigulu hana cheo chochote jeshini au mahali pengine kinachotambulishwa kwa kuvaa nembo ya namna hiyo. Hiyo nembo (na hata rangi yake), sio alama za chama chake.

Inasemwa kuwa nyota ni mojawapo wa alama za Illuminati (Freemansons), ambazo members wake hulazimika kuzivaa mwilini. Unaweza kujifunza zaidi juu ya alama za illuminati katika sites mbalimbali kwenye internet na kwingineko.

View attachment 96869

Mwigulu ameonekana akivaa nembo hiyo mara kadhaa anapojitokeza na kuhutubia mbele za watu!!!

Mwigulu atueleze, je nembo hii ina maana gani? Au ndio anatafuta wafuasi?

What MWIGULU NCHEMBA is wearing is
Chairman Mao Zedong China Communist Party Army Green Hat Cap... It seems that his recent trip to CHINA open his EYES on COMMUNISM but truthfully OUR ruling PARTY is no longer a SOCIALIST Party nor African Socialism... CCM the Party has moved to the CENTER...

O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
34,529
Points
2,000
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
34,529 2,000
Tangu Mwigulu arudi kutoka "China" amekuwa akivaa kofia yenye nembo ya nyota, ambayo anapoivaa nembo hiyo huwekwa kwenye paji la uso
View attachment 96867Lakini kama tujuavyo, Mwigulu hana cheo chochote jeshini au mahali pengine kinachotambulishwa kwa kuvaa nembo ya namna hiyo. Hiyo nembo (na hata rangi yake), sio alama za chama chake.

Inasemwa kuwa nyota ni mojawapo wa alama za Illuminati (Freemansons), ambazo members wake hulazimika kuzivaa mwilini. Unaweza kujifunza zaidi juu ya alama za illuminati katika sites mbalimbali kwenye internet na kwingineko.

View attachment 96869

Mwigulu ameonekana akivaa nembo hiyo mara kadhaa anapojitokeza na kuhutubia mbele za watu!!!

Mwigulu atueleze, je nembo hii ina maana gani? Au ndio anatafuta wafuasi?
Ahh wewe acha hizo hiyo ni nembo ya ki-communist huko China bana......Ila ni ulimbukeni Mwigulu kauonesha.m
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,687
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,687 2,000
Mie nilimuona nikajua ndo anajifanya fidel castro flani. Na hiyo midevu basi tena.
 
Jalood

Jalood

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Messages
750
Points
0
Jalood

Jalood

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2012
750 0
Huyu mwisho atakuwa Kama Iddi Amin vyeo vyote atamaliza kujiremba ataona bado
 
Ndekirhepva

Ndekirhepva

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2012
Messages
373
Points
195
Age
29
Ndekirhepva

Ndekirhepva

JF-Expert Member
Joined May 18, 2012
373 195
Huyu atajiremba na atavaa hadi gwanda la jeshi,then ataona halina maana atataka atubadilishie nasi tumpe t shirt za M4C
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,983
Points
1,500
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,983 1,500
Hiyo ni nembo ya Chama cha Kikomunisti cha China
Chama hicho kina uhusiano gani na freemason?
Mwigulu anahuiana vipi na wachina?
Mbona hata skafu hajawahi kuiacha?
Ni HESHIMA KUBWA SANA KWA MUNGU KUMZOMEA MWIGULU

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Royals

Royals

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Messages
1,445
Points
1,225
Royals

Royals

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2011
1,445 1,225
Ana ndoto za kukigeuza chama chake kuwa cha kikomunist na kuwa chama cha wanyongaji wa watu wasiokishabikia.
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,260
Points
2,000
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,260 2,000
Anamuiga Mboe aliyeanzisha gwanda. Anataka wenzake wamuige.
 
MARCKO

MARCKO

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Messages
2,262
Points
0
MARCKO

MARCKO

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2011
2,262 0
Eti nayeye anataka kua perculiar!
 
Tuko

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,192
Points
1,500
Tuko

Tuko

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2010
11,192 1,500
Ahh wewe acha hizo hiyo ni nembo ya ki-communist huko China bana......Ila ni ulimbukeni Mwigulu kauonesha.m
Kwa CCM alama ya jembe na nyundo ni kuwakilisha wakulima na wafanyakazi. Kwa CDM alama ya vidole viwili ni ni ishara ya V yaani ushindi. Je, kwa wakomunist wa China, alama ya nyota inawakilisha nini?
 
Tuko

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,192
Points
1,500
Tuko

Tuko

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2010
11,192 1,500
Ana ndoto za kukigeuza chama chake kuwa cha kikomunist na kuwa chama cha wanyongaji wa watu wasiokishabikia.
Nyota ina maana gani kwenye ukomunist? Mi nadhani Mwigulu anajua maana hiyo. Kwa nini asivae kofia yenye jembe na nyundo?
 
Tuko

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,192
Points
1,500
Tuko

Tuko

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2010
11,192 1,500

What MWIGULU NCHEMBA is wearing is
Chairman Mao Zedong China Communist Party Army Green Hat Cap... It seems that his recent trip to CHINA open his EYES on COMMUNISM but truthfully OUR ruling PARTY is no longer a SOCIALIST Party nor African Socialism... CCM the Party has moved to the CENTER...

Kwa bendera ya CCM jembe na nyundo ni ishara ya wakulima na wafanyakazi. Je, kwa wakomunist wa China, nyota ni ishara ya nini?
 
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2007
Messages
11,844
Points
0
Gaijin

Gaijin

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2007
11,844 0
Chama hicho kina uhusiano gani na freemason?
Mwigulu anahuiana vipi na wachina?
Mbona hata skafu hajawahi kuiacha?
Ni HESHIMA KUBWA SANA KWA MUNGU KUMZOMEA MWIGULU

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hahahaha @ Communist party of China kina uhusiano na Freemason

Asojua maana haambiwi maana
 
Forum statistics

Threads 1,295,865
Members 498,452
Posts 31,226,064
Top